Mimi ninaishi mikocheni A nina mdogo wangu anasoma IAA sasa wamesema waende kwa mkuu wa wilaya.... Sasa process mpaka kufika huko sizijui maana hata mtendaji simfahamu... Kuna mtu anaweza kunidokeza
Mwenyekiti wa Baraza la Mitihani la Taifa-NECTA ambaye pia ni Makamu Mkuuwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Prof.Rwekaza Sympho Mukandala amesema hayuko tayari kubadili matokeo ya Kidato cha Nne...
Nasikitishwa sana na wizara ya elimu kutaka kuboresha matokeo ya kidato cha nne "kwa kujali mahitaji bila kujali ubora wa elimu yenyewe"
Nasema haya kwa sababu zifuatazo
1. Tume...
Niliwahi kusoma humu humu kuwa udsm tangu kitivo cha sheria kianzishwe hakuna first class zaidi ya mama Migiro.
Mutula kilonzo alimaliza udsm na kupata first class
Dr Ringo Tenga nae alipata...
Nilazima tukubali kuwa, mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi yaliyotukuta katika nchi zetu za dunia ya tatu, yamebadilisha mfumo wetu wa elimu. Hii ni kutokana na kile ambacho kilitokea miaka ya...
Naanza kufanya utafiti juu ya suala la mitaala rasmi
Kutokana na sakata lililoibuliwa na Mh. James Mbatia (Mb) kuhusiana na suala la mitaala (Kama Tanzania kuna mitaala rasmi au la) nimeamua...
Wakuu naomba mnijuze eti kwa mchepuo wa CBG naweza kusomea medicine au udaktari wa binadamu chuo hapo baadae mungu akiweka uhai.
(NAOMBA MNIJUZE WAKUU)
Wanajukwaa, kwa yeyote anayeifaham vizuri hii career naomba atoe msaada katika area ya Project monitoring & Evaluation. Ni pm then we can initiate there our communication.
Wakuu nina interest ya kujiendeleza zaidi ktk mambo ya diplomasia ya uchumi, nina masters ya biashara, Ninaomba kwa anayefahamu ada kwa post graduate diploma ni shilingi ngapi anisaidie kwani...
JAMHURI YA MUUNGANO WATANZANIA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UFAFANUZI KUHUSU KUPITIWA UPYA KWA MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE MWAKA 2012
Mnamo tarehe...
WAREMBO watatu wanaodaiwa kuwa ni madenti wa chuo kikuu kimoja jijini Dar, waliojitambulisha kwa jina mojamoja, Rachel, Neema na Suzan, wamekumbana na balaa zito baada ya kupokea kibano cha...
Ukweli ni kwamba nyoka mwenye vichwa viwili yupo, lakini ni wachache sana. Hawa nyoka ni kama mapacha walioungana au unaweza kusema kuwa ni nyoka mmoja mzima lakini ana vichwa viwili vilivyokaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.