Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

"Mambo vipi wadau wa elimu" nimeanza kwa salamu ya kishkaji, si kwamba waheshimiwa sana nimewadharau. Mimi nina maswali mengi kichwani. Na ambayo sijayapatia majibu hadi sasa....... Kinachoniumiza...
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Kwanza ni mpiganaji.Ni role model wa wanawake Alianza kuwa secretary,baadaye alijiendeleza kama ifuatavyo: Certificate in law-Udsm LLB Hons-Udsm fuculty of law. Advanced diploma in women in...
0 Reactions
28 Replies
8K Views
CHUO CHA UHASIBU ARUSHA TANGAZO Kutokana na Chuo kufungwa, Baraza la Uongozi wa Chuo katika kikao chake cha dharura cha tarehe 03 Mei 2013 kimeagiza wanafunzi wote kuanzia ngazi ya Cheti mpaka...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Have You Been Assigned a Research Proposal… and You are Wondering What to do and How to Write it? What about your Dissertation? The service is available at reasonable rates. Just PM me and we...
0 Reactions
1 Replies
813 Views
"Mlango mmoja unapojifunga basi mingine hufunguka, lakini siku zote tunaangalia na kujutia ule mlango uliojifunga, hali ambayo tunaacha kuangalia ile iliyofunguka kwaajili yetu” - Alexander Graham...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
"Mlango mmoja unapojifunga basi mingine hufunguka, lakini siku zote tunaangalia na kujutia ule mlango uliojifunga, hali ambayo tunaacha kuangalia ile iliyofunguka kwaajili yetu” - Alexander Graham...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Kwenye local papers moja hapa nchini nadhani mtanzania, kuna barua ya mtoa maoni akilalamikia kuhusu udini w akupindukia huko chuo kikuu cha dodoma, inasemekana kama wewe si mwislamu huna chako...
0 Reactions
225 Replies
24K Views
Kiukwel 2nakoelekea watanzania sio na 2cpokuwa makin 2takuwa 2nazalisha jamii ya wa2 wajinga mana matokeo ya form 4 kurudiwa kuchunguzwa tena kuna uwezekano wa baraza kufanya hujuma ya kuongeza...
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Tusiwe tunalaumu bila kufahamu jambo lenyewe kiundani.Kweli alieshiba amjui mwenye njaa. Matokeo ya mwaka jana ni batili kwa sababu hauwezi ukapandisha alama za wahusika bila kumjulisha au...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwanza kabisa naipongeza tume iliyoundwa na waziri mkuu kuchunguza kuwepo kwa matokeo mabovu ya kidato cha nne mwaka 2012 je ni sahihi kwa taasisi mbalimbali zilizojitokeza hivi karibuni kama...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wanafunzi wa udsm-duce wanajibiwa kisiasa kuhusu ada kutoka bodi ya mikopo. Wanamaliza kulipa shea zao za % lakini siku wajapo kuchukua matokeo wanaambiwa wanadaiwa .! Sasa jamani ufisadi ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Soma Na Upate Computer Bure!!! Professional Computer User Certificate (PCUC) This is integrated certificate that covers at least every important angle of ICT in order to be a real Computer...
0 Reactions
2 Replies
836 Views
Kweli alieshiba amjui mwenye njaa. Matokeo ya mwaka jana ni batili coz huwe ukapandisha alama za wahusika bila kumjulisha au kumtaalifu muhusika mwenyewe, kuanzia wanafunzi, walimu, wazazi na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Researchers turn regular DVD player into cheap HIV testing machine | ExtremeTech DVD discs double as cheap diagnostic kit for HIV - SciDev.Net
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Natafuta shule ya boading Dar nimwamishie binti yangu, shule gani naweza pata ya serikali kati ya wilaya za Kinondoni, Ilala na Temeke?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwalimu mkuu wa shule ya msingi buguruni" a" ameamua kwa makusudi kukodisha kwa mtu binafsi darasa la computer pamoja na computer zilizomo kwa mtu binafsi. Darasa hilo lilijengwa kwa msaada wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ALBINO AFUKUZWA SHULE JIJINI MBEYA KWA MADAI KWAMBA NI MCHAWI Amina Mwamkinga alisema tangu tarehe tisa alipofukuzwa bwenini na wanafunzi wenzie wakitaka aondoke shuleni...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Amina Mwamkinga alisema tangu tarehe tisa alipofukuzwa bwenini na wanafunzi wenzie wakitaka aondoke shuleni hapo wakimtuhumu kuwa mchawi majira ya usiku hali iliyomlazimu kuomba hifadhi kwa mlinzi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
ni kwl ama kutishana
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Back
Top Bottom