Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Dr. Aldin Mutembei alikuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Taaluma ya Kiswahili (TATAKI), University of Dar es Salaam, amevuliwa madaraka ya Ukurugenzi wa TATAKi kufuatiwa tuhuma za Ubadhirifu wa Pesa za...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Ni kuwa kinatoa PHD ndio maana hapa bongo vyuo kama st johns,tumaini,sekuco, sijui jordan huwezi kusoma then ukajisifu kwenye dunia hii
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Itende high School iliyopo Mbeya mjini, nje kidogo ya jiji, ina tangaza OFA kubwa ya ada ya shule KUTWA sh 250,000 kwa mwaka mzima: Hii na kidato cha 5 & 6 tu. Kidato cha 6 ni kwa nafasi za...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Inakuwaje vyuo ni vingi sana ila vinavyokubalika hadi mtu kupata kazi ni vichache
0 Reactions
4 Replies
970 Views
CHUO CHA UHASIBU ARUSHA Kutokana na Chuo kufungwa, Baraza la Uongozi wa Chuo katika kikao chake cha dharura cha tarehe 03 Mei 2013 kimeagiza wanafunzi wote kuanzia ngazi ya Cheti mpaka...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Mapendekezo kuhusu matokeo tata Mwenyekiti wa tume ya waziri mkuu ya kuchunguza sababu za kushuka kwa ufaulu wa kidato cha nne mwaka 2012, amesema kuwa kuna mapendekezo mengi na baadhi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hellow, wana jf nawasalimia wote!!
0 Reactions
1 Replies
663 Views
Habarini wanajanvi, ni yupi mwenye nafasi kubwa ya ajira na mwenye pesa nzuri? Kati ya hao
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Wana jf, hivi sasa katika chuo kikuu cha waislamu morogoro (mum) kuna kampeni zinaendelea za uchaguzi wa ccm katika ngazi mbalimbali za uongozi. lakini cha kushangaza ni kutozingatiwa kwa kanuni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Elimu ya Tanzania, degree& profesa imekuwa ni cheo cha kupewa mezani tu sio kiwango cha elimu aliyopata mhusika! Hahahah!
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbona tunacheleweshewa matpkeo?,au nayo yanasaishwa tena
1 Reactions
9 Replies
2K Views
habari za kazi wakubwa.nilikuwa naomba mchango wenu jinsi gani utandawazi ulivyoleta mabadiliko kwenye sector ya elimu katika tanzania/impacts of globalization in education-case study of tanzania...
0 Reactions
2 Replies
808 Views
Kama umewahi kupita Kantalamba S.S SUMBAWANGA,RUKWA tafadhali tujikumbushe machache hapa,mimi binafsi nimepita 2000 - 2002 namkumbuka Kanyengele na slang zake ngumu pamoja na njanga,ulikuwa...
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Matokeo ya kidato cha sita yako tayari.Vikao husika vya kupitisha na kuidhinisha kutolewa kwake vinaendelea NECTA. Lakini,Serikali imeagiza kuangaliwa vyema kwa matokeo hayo ili kuzuia kutokea...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau nashindwa kuingia kwenye eneo la kujaza maombi, kuna mtu mwenye idea jinsi ya kufanya?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
wanajamvi kampuni ya simgas tanzania imeleta mitambo ambayo inakuwezesha kutengeneza gesi ya kupikia. kutokana na taka za majikoni yaani mabaki ya vyakula, machambulia ya mboga, mamènyea ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Soma na Upate Computer Bure.. Tunatanguliza shukran kwa wote waliojitokeza kupiga simu na kupata maelezo ya kina kuhusu Kozi hii ya Computer, Program Zifuatazo zitafundishwa Professional Computer...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kumekuwa na mvutano mkubwa kati ya wanataaluma na wanasiasa kuhusu suala la elimu hapa nchini..... Wanataaluma wengi wanapinga uamuzi wa serikali kuyafuta matokeo ya...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Shule ya sekondari Elite inawatangazianafasi za kidato cha kwanza na cha tatu kuanzia Julai mwaka huu. Ada ya boarding ni Tsh1,150,000 kwa mwaka na day ni Tsh750,000 kwa mwaka. Kwa mawasiliano...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Naomba niulize wadau wote, hivi ni kwa nini shule tulifundishwa namba za kirumi na sio za kifaransa, kichina, kihindi, nk na je, katika hicho kirumi kwa nini tulisoma namba tu? Vipi kuhusu...
0 Reactions
27 Replies
14K Views
Back
Top Bottom