Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wadau wenzangu wa elimu,natafuta tempo ya kufundisha somo la physics nipo KIBAHA.My no 0717582396.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu wana jf, uamuzi uliochukuliwa na selikar wa kupanga matokeo ya kidato cha nne ni mzur na una manufaa kwa nchi na raia wake,wewe unaepinga nikwamba ujui machungu wanayo yapata wazaz na...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Nimesoma gazeti la RAIAMWEMA la leo jumatano habari iliyoandikwa "kuelekea matokeo kidato cha sita sifuri kibao zafutwa kimyakimya" 1.sababu za kuchelewa ni pamoja kuogopa kufutwa kwa matokeo...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Chuo cha Uhasibu Arusha kinawatangazia Wanafunzi wote wa kozi za ngazi ya Cheti hadi Stashahada ya Uzamili kwamba chuo kitafunguliwa siku ya Alhamisi tarehe 23 Mei, 2013...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari za sasa hivi nafanya research naomba mtaalamu wa kuedit kabla sijakusanya anaweza PM pamoja na gharama zake zote kazi ina page kama 60.
0 Reactions
1 Replies
985 Views
Napenda kutoa tahadhari kubwa sana kwa wanafunzi wa UNIVERSITY OF DAR ES SALAM wanaoishi Mabibo Hostel na watu wengine wanaokaa maeneo hayo. kuna kijana ambaye anajifanya ni fundi Computer hasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Bora wizara ya elimu waziri wake atoke miongon mwa hawa form4 wanaosubiri matokeo yao,kuliko kuongozwa na vilaza mapacha(shukuru§mulugo)AU MNASEMAJE WAPENDA ELIMU?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Muenendo wa Elimu ya Tanzania unavyoendelea unatia shaka, kutokana hali halisi ya namna elimu nchini inavyozidi kushushwa na kupoteza maana kabisa. Elimu ya Tanzania kwa ngazi yeyote imepoteza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
When you study never think about your future. how truth is this assertion is?
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Habari zenu wana jf? Hivi ni kweli kuwa ada ya chuo kikuu cha kampala nchini Tanzania imepungua hadi kufikia laki nne kwa semester? Je kwa mwanafunzi anayeanza degree ya ualimu anatakiwa alipe...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakati nikiwa katika shughuli zangu za kawaida nikaona ni vema tujadili mambo haya: 1. Shule za kata zilianzishwa kuimarisha elimu nchini lakin zimegeuka na kudidimiza elimu zaidi, kama serikali...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habari wana jamii forums,kuna rafk yangu alienda kusoma uganda kwa sababu yeye alikuwa hana requirement za credit tatu kwenda advance,kamaliza advance uganda kafaulu kwa kiwango cha daraja la...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina mdogo wangu kahitimu kidato cha 6 nchini uganda,baada ya kuequite matokeo yake baraza la mitihani equivalent kwa Advanced certificate ya Tanzania ana division two point 11,tatizo matokeo yake...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kwa wale ndugu zangu wa mj mambo ni vipi embu...tukumbushane story mbili tatu za pale mjengoni...!! Kwangu mimi nakumbukia life la trench..ful kuruka na mwisho wa siku tunatoa ma t.o..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeshangaa kusikia kwamba tume ya kuchunguza kushuka ufaulu wa kidato cha nne hajamaliza kazi yake na itatoa mapendekezo zaidi ya 130 lakini wakati huohuo tayari Wizara ya Elimu imetangaza kwamba...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau naomba kuuliza endapo nimefanya kazi kwa mkataba miezi mitatu,na baada ya hapo nikaendelea kufanya kazi sasa mwaka na nusu bila mkataba na malipo yangu napokelea bank kila mwezi?na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
sayari ya Pluto sio sayari tena Sayari ya pluto ilikuwa ni sayari ya tisa katika mfumo wa jua (Solar System), lakini sasa si hivyo. Tuna sayari nane tu. Kwanini? Nilipokuwa shule tulijifunza...
3 Reactions
6 Replies
8K Views
Edward Lowassa, amesema matumizi ya fedha zilizorudishwa nchini, baada ya ununuzi wa rada, maarufu chenji ya rada, hayaeleweki vizuri. Alisema hayo juzi katika mkutano uliojumuisha wadau wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Guyyzzz anaekijua hiki chuo cha sjut kilipo na sifa zake kiundani naomba anambie nataka nijiunge nacho!!!!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Natarajia kufanya research kuhusu public administration naomba kama kuna mtu anazijua topic ambazo research inaweza kufanyika katika hii field anitajie, napata shida kuchagua.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom