Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Waungwana naomba nfahamisheni kuhusu pugu highschool je ni moja ya special schools za tz na kwa pcb ni vip vigezo kuchukuliwa pale?
0 Reactions
0 Replies
835 Views
UCHAFUZI WA MAZINGIRA CHUO CHA SAYANSI NA TECHNOLOGIA NELSON MANDELA Kwa masikitiko tunapenda kuzungumzia suala la uchafuzi wamazingira unaofanywana Chuo kikuu cha NELSON MANDELA AFRICAN...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
najikia amani sana nikikumbuka mtwango sec kutokana na mambo tulioyakuta hatimae kuanza nakuvuka vizingiti nakupata matunda yaliyo bora pale mtwango sec chin ya mkuu wa shule "MH EDWARD MBUNDA"...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo KWA UFUPI Kadhalika alisema Serikali imepiga marufuku matumizi ya simu za mikononi kwa sababu baadhi ya wanafunzi wamekuwa wakizitumia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Songea kuna mchungaji anafundisha Mashujaa sekondari.Amepangwa maalumu kwa kazi hii tu shule ya 'serikali'.Ni halali?
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Naomba mnisaidie sehemu zilipo office za pwc (price water coopers) natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
983 Views
Jamani nielekezeni jinsi ya ku2mia hii
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Matatizo mbalimbali yanachokikumba chuo kikuu kishiriki, MKWAWA(MUCE), JAMANI HAYA MATATIZO YATAISHA LINI? Ndugu wanajamii forum, tatizo la elimu bora kwa kila mtanzania ni Tatizo, kumbe hata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naomba kujuzwa kwa wenye taarifa za vyeti vya wahitimu 2012 vitatokalini? Kwa chuo cha kilimo sokoine.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wakuu mimi naomba mnisaidie kwani kila vyuo ninavyoomba naambiwa niwakilishe matokeo ya mtihani wa TOEFL. je niyapateje?. kuna TOEFL na nyingine kama hiyo.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Me ni kijana nlimaliza form 4 2012 nakupata daraja la 3 natafuta mawasiliano ya shule yaMajengo High School ya Moshi na MARYGOLETH wanajamii naombeni msaada wenu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari jf, Wakuu naombeni msaada wa mtu kama anaweza kuliweka lote hapa nitashukuru kwani muda unaisha,nimejitahidi kufungua ila access ninayotumia haifanikiwi,naombeni msaada, Nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wasalaam wana Jamvi.Kama wewe ni muhaya au ulizaliwa katika mkoa wa Kagera au una ndugu yako aliyefanikiwa kujiunga na chuo kikuu mwaka 2012/13 basi hii inakuhusu.Binafsi nimeona ni busara...
6 Reactions
187 Replies
20K Views
wangwana hivi ni kweli huwezi kupata degree course kama una c mbili za o level na principle pass 3 za a level hata kwa vyuo vya private
0 Reactions
8 Replies
1K Views
mi nimemaliza 4m 4 mwaka jana na kupata div 4 ya 28 artist engl c,math f,hist d,kisw d,civics d,geo d,bio d. Je naweza pata nafasi vyuo vya kilimo/afya.... Au naomba mnitajie kozi zenye ajira ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hayati Baba wa Taifa letu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati taifa letu limepata uhuru alisema kwamba ni lazima nchi yetu kupambana na maadui wakubwa watatu yaani UMASKINI, MARADHI na UJINGA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hayati Baba wa Taifa letu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati taifa letu limepata uhuru alisema kwamba ni lazima nchi yetu kupambana na maadui wakubwa watatu yaani UMASKINI, MARADHI na UJINGA...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Natafuta chuo cha kufundisha Masomo ya IT in Part-Time basis. Asubuhi mpaka saa saba na nusu mchana Nipo vizuri Networking, Computer Basics, E-Commerce, Computer Maintainance, Computer...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Salaam, Wakuu hii taasisi ya NACTE nayo ni moja kati ya majanga ya kitaifa katika elinu yetu..Hawa jamaa wanachangia sana kuua elimu tanzania..ukitaka kuamini hili Waulize NACTE namna mitaala ya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana jf, mimi nilifanya mtian wa kidato cha 6 mwaka 2012 na nataka sasa niombe chuo tcu. TATIZO LANGU NI KWAMBA SIELewi kuusu garama za uombaji. yani adi kukamilisha utaratibu wote kuanzia tcu ad...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom