salamu zenu wakuu! ndugu zangu, nimeona nisikurupuke just because of having an idea, naanza na wazo leo, but from tomorrow, it will be practicals na lazima nirudishe habari juu ya maendeleo ya...
Kwa wadau ambao mnasoma accounting and finance courses!! je mmeona syllabus mpya ya CPA to come into force from November 2013?? Hope it will make the profession more international, me kwa kweli...
hiki ni chimba cha darasa.
ndani ya hilo darasa.
wanafunzi wakiwa darasani.
Hili darasa liko sehemu moja huko muleba kagera. leo nimeushangaa mswada wa mavazi kupelekwa bungeni wakati elimu...
Matokeo yangu form six nina division three ambayo alama zake ni hizi history D,kiswahili S,English F,divinity D,pia nina diploma ya ualimu ambayo matokeo yake ni 2.4 pass,je kwa alama hizo ntaweza...
Sijui kama ndio utaratibu wa sasa au vipi, nina takribani miezi 4 toka nimuanzishe shule mtoto mmoja (STD 1). Kila siku anatakiwa apeleke shilingi 300 kama pesa ya tuition. Nilijaribu kuulizia...
Habari wana JF.
Ninatafuta Mwalimu wa masomo ya Sayansi PCB ambaye atafundisha masomo ya Physcis, Chemistry na Biology kwa kidato cha Tatu na Cha Nne. Mwalimu anatakiwa awe maeneo ya Dodoma Mjini...
Matokeo yangu form six nina division three ambayo alama zake ni hizi history D,kiswahili S,English F,divinity D,pia nina diploma ya ualimu ambayo matokeo yake ni 2.4 pass,je kwa alama hizo ntaweza...
Hi All,
Today 8th April, 2013 we are going to have our monthly Mobile Monday Dar es salaam event. This month theme is ICT in Education and speakers will include:
1. Emanuel Feruzi: Lecture...
Hallo wana jf ningeomba kujua ni course gani za computer ambazo natakiwa kusoma ili niwe accountant mzuri, sababu computer tuliyofundishwa hapa chuo ni ya kizushi sana na hamna practicals zozote
Mwalimu anayetaka kufanya kazi ya ualimu mikoa ya mwanza, bukoba na kagera kutoka mikoa ya mbeya, ifinga na rukwa tafadhri naomba tuwasiliane kwa namba zifuatazo; 0682291333,0755117828
ivi ni ipi sababu hasa ya tcu kubadilisha mfumo mzima wa mature age entry kutoka chini ya utawala wa vyuo vikuu hapa nchini na kua chini yake? au kuna udanganyifu uliokua unaendelea vyuoni juu ya...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavojieleza nahitaji kusoma hizo course za marketing , Je kwa hapa Tanzania ni chuo gani kinafundisha course za CIM (Certified Institute of Marketing)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.