Wapendwa naomba kuuliza ivi nikweli serikali imetangaza kuwa wanafunzi wote wa kidato cha nne waliopata daraja sifuli mwaka 2012 wanarudia mtihani mwezi novemba?
MIMI NAITWA CLEMENT E.MAGANGA WA S.L.P 170 MASWA,NAFANYA KAZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASWA ILIYOKO KATIKA MKOA WA SIMIYU.NIKO KATIKA IDARA YA MAENDELEO YA JAMII NINATAFUTA MTU WA...
Ndugu wadau, kuhusu matokeo ya mtihani, kuna wachangiaji wanadai eti mitandao ya kijamii imechangia kufeli kwa wanafunzi. Kinyani anakataa kabisa maana ni asilimia ndogo tuu yao wanashiriki, kwani...
Habar wadau,naomba kufahamu dhana hzi.
je ni kweli sisi pembezon,au tumaning'inia ubavuni mwa dunia?
kwani hapo awal nilijua tumo ndan ya dunia.
Asanteni sana
Iwapo wewe ni Mwandishi wa Habari mwenye uzoefu wa Miaka 2 au 3, kuna kozi fupi hapa ambayo utasoma bure!
Kozi hii itakupa uwezo mkubwa jinsi ya kuandika masuala ya urahisi wa kufanya biashara...
kuundwa kwa kamati kwa ajili ya kuchunguza sababu za wanafunzi wengi kufeli ni kama upeo mdogo wa kufikiri na kutoona mbali kwa serikali yetu. Ukweli wa kufeli kwa wanafunzi uko wazi kabisa na...
Dr. Slaa amepatwa na dhoruba kupitia matokeo ya kidato cha nne 2012 kutokana na shule anayoilea kufanya vibaya sana tofauti na twasira yake miongoni mwa wananchi waliamua kuita shule husika jina...
ELIMU SHULENI NA KUFELI WANAFUNZI
Mitaala ya Elimu ambayo ndio inayounda uendeshaji wa elimu shuleni imezungumzwa sana kipindi hiki. Bahati mbaya wakati hili likiendelea wanafunzi nchi nzima...
ELIMU SHULENI NA KUFELI WANAFUNZI
Mitaala ya Elimu ambayo ndio inayounda uendeshaji wa elimu shuleni imezungumzwa sana kipindi hiki. Bahati mbaya wakati hili likiendelea wanafunzi nchi nzima...
ELIMU SHULENI NA KUFELI KWA WANAFUNZI
Mitaala ya Elimu ambayo ndio inayounda uendeshaji wa elimu shuleni imezungumzwa sana kipindi hiki. Bahati mbaya wakati hili likiendelea wanafunzi nchi nzima...
habar zenu wakuu nina mdogo wangu aliyemaliza kidato cha nne mwaka jana ana C nne ya phy chem kisw na eng masomo mengine ana D je ningependa kujua kuna uwezekano kweli akachagulia govt school au...
Kama ningekuwa mwalimu nikatambua kuwa mbunge anaingiza si chini ya milioni 8 kwa mwezi, anamiliki v8 ndani ya miezi mitatu baada ya uchaguzi, anapewa sitting allowance ya laki mbili, anapewa...
Naombeni munisaidie jamani,nina msichana wangu nimemchumbia sasa nataka kumuendeleza kielimu yeye alihitimu kidato cha nne mwaka 2007 matokeo yake ni div 4 ya 27.sasa sijajua nianzie wapi kutafuta...
Salaam wana bodi,
kuna binti yangu amepata matokeo yafuatayo,
Naomba ushauri je anaweza kupangiwa kwenda wapi.
S3933/0003
F
27
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-C ENGL-D PHY-D...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.