Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hapo mwanzo haukuwepo na mabadiliko ya mitaala za kila wakati kama hivisasa-kila Kiongozi anayeingia kuongoza huja na Ya Kwake,mpaka wanafunzi wanachanganyikiwa-Unashindwa kitabu Gani cha Hesabu...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Kuna habari kwamba idadi ya wanafunzi waliodahiliwa kujiunga na vyuo vikuu imepunguzwa kwa makusudi na serikali ya CCM kwenda vyuo binafsi ambavyo inasemekana vina idadi kubwa ya wahadhili...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa taarifa nilizozipa hivi punde kutoka kwa kigogo mmoja anayefanyia kazi wizarani zinasema kwamba serikali haina fedha za kuajiri walimu, kwa hiyo inabidi walimu hao wawe na subira hadi mwezi wa...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Kumekuwa na hujuma za makusudi kati ya NECTA na serikali juu ya urudiaji wa mtiani Private candidate, watainiwa wengi sana wa PC wanapewa mtiani mgumu sana ukilinganisha na SC , hivyo sasa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kufuatia habari zilizoandikwa kwenye magazeti zikinukuu tuhuma za makosa ya NECTA katika mitihani ya wanafunzi wa shule hiyo. Baraza la mitihani limetoa jibu rasmi:
5 Reactions
53 Replies
5K Views
Pamoja na lawama kwa serikali, lawama kwa walimu na lawama kwa wazazi kidogo, lakini lawama kwa wanafunzi wenyewe wa kidato cha nne 2012 hazikwepeki. Hainingii akilini kwa mwanafunzi aliyesoma...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
hatimaye post za walimu za tangazwa leo tar 13.kuripoti tar 1 march.mkafanye kazi na muache ubishoo na maringo.
2 Reactions
34 Replies
6K Views
Kwako mh raisi kikwete kwanza naomba kuanza na kidumu chama cha mapinduziiiiiiiiiiiii na minii umeitikia kwa kunyoosha mkono nisiouwona aila mungu ameuona mh rais kuna sekta nyingi mmekuwa nazo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nasema form four wamefeli kwa haki. Ni uzembe wa wazazi/walezi. Mi nakumbuka kuna mwaka dogo mmoja kanipigia simu toka mikoani anasema eti naomba unipe link za kununua mtihani, na aliamini mimi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Na Romana Mallya 23rd February 2013 Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Philipo Mulugo Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Philipo Mulugo, amewataka...
0 Reactions
0 Replies
881 Views
Taarifa nilizopata hivi punde zinadai kuwa NECTA imeguswa vya kutosha na tuhuma zilizoripotiwa leo kuwa matokeo ya Kidato cha Nne yamechakachuliwa. Tuhuma hizo zimetolewa na Mkurugenzi wa...
2 Reactions
90 Replies
9K Views
Matokeo ya Kidato cha nne shule ya sekondari Irkisongo mwaka huu yanatisha kama yalivyo kwa shule nyingi za kata aka St. Kayumba. Mh. EL ni mwenyekiti wa bodi wa shule hiyo. Mara kwa mara vyombo...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Magazeti leo yanasomeka kua JK atengue matokeo hayo,je ni njia nzuri ya kuboresha elimu na unazani matokeo yakitenguliwa Form 4 watakua tayari kusoma wakafanye mitihani au ni kulazimishia ufaulu
0 Reactions
23 Replies
3K Views
kunasababu nyingi ambazo zmechangia kwa wanafunzi kufeli mtihani kidato cha nne mwaka 2012/2013 lakini mimi kama mwalimu ambae ni mtaalam katika fani hii navyojua kuwa kuna kitu kinaitwa mhamo wa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
JUMAMOSI, FEBRUARI 23, 2013 04:23 NA MWANDISHI WETU *Dk Kawambwa apata wakati mgumu mbele ya JK WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhandisi Christopher Chiza, amejitosa katika sakata la...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Baraza la Mitihani la Tanzania limekanusha kuwa matokeo ya kidato cha nne 2012 yamechakachuliwa. Wanaosema yamechakachuliwa wanatafuta cheap popularity!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salaam kwa wana JF wote, Naomba mwenye ufahamu juu ya hii mitihani ya NECTA na CAMRIDGE anijuze jamani Kuna vijana wetu wako kwenye hizi shule za academic grade 7 sasa,wanategemea kufanya...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Nimemsikia Shukulu kawambwa anasema Wizara inafanya/itafanya tahtimin ili kujua kwa nini watoto wamefeli mtiani kwa kiasi hicho.Hivi huu mtu ni mzima wa akili? najiuliza Mtanzania yupi azijui...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nimemsikia waziri wa elimu kawambwa anadai kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha nne ni kwa sababu ameziba mianya ya wizi wa mitihani..hivi kawambwa ni mzima wewe kweli? Kwa hiyo unataka kusema sisi...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
wanajamvi nadhan huo ndio utakua ushauri mzuri coz wanafunzi waliofeli kidaato cha pili pia ni wengi na hawa waliofeli f4 walipta bla mtihan, hvyo yote hayo imesababsha wizara ya elimu ni jukumu...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Back
Top Bottom