Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Nani alaumiwe matokeo ya kidato cha nne? Kama ni walimu wamelipa wanacholipwa,wanafunzi wamejibu walichofundishwa na walim wao na baraza wamesahihisha na kutoa matokeo kama yalivyotokea . hebu...
0 Reactions
0 Replies
787 Views
nimecikia lawama nyingi sana, hasa za kuituhumu serikali juu ya kufeli wanafunzi kidato cha NNe...ukweli ni kuwa mcitegemee miujiza kwny ufaulu wa watoto wenu, watoto hawa wanaoshindana kuvaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaFJ, Nimetafuta matokeo ya shule mbili miongoni mwa shule maarufu nchini zinazopatikana mkoani Kagera lakini sijafanikiwa kuziona nazo ni: Ihungo S0109 na Kahororo S0115. Naomba mwenye taarifa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Binafsi kama mwalimu mwenye taaluma ya ualimu, matokeo ya Mtihani wa kidato cha nne 2012 ambayo yametoka juzi yanakatisha tama kabisa kutokana na idadi ya walio feli kuwa kubwa kuliko kawaida...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ni habari za kuaminika kutoka chanzo cha karibu na kawambwa, chanzo hicho kimeendelea kudokeza kwamba, tangu atangaze matokeo ya kdt cha 4 siku chache zilizopita amekuwa akitumiwa ujumbe wa...
4 Reactions
109 Replies
7K Views
Kwa kipindi kirefu tumekuwa na mifumo ya elimu katika shule zetu isiyokuwa na tija, nasema isiyokuwa na tija kutokana na ukweli kuwa mwanafunzi amekuwa akirundikiwa rundo la masomo hata yale...
0 Reactions
1 Replies
910 Views
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Wanajamvi poleni kwa kuishi kwenye li-nchi linaloleta siasa hata kwenye elimu. Leo asubuhi saa moja hadi mbili niliona TV kwa mara ya kwanza inaweza kuwa na 'educative component'. Ni katika...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mtu akipata four ya 30 au hana credit 3 anaenda certificate anaweza soma degree kwenye vyuo vikubwa vya tz na masterz maana mwaka 2011 kuna watu tcu waliwanyima post za vyuo kisa hawana credit 3...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
INFOBRIDGE CONSULTANTS LTD In Collaboration with MUST COLLEGE Are organizing an evening MONTHLY GIS DAY – TECHNICAL SESSION THEME Basic Satellite Image Processing DATE: 01 March 2013, Friday TIME...
0 Reactions
0 Replies
625 Views
du kwa mambo haya kuna kusoma kweli huko shule
0 Reactions
5 Replies
2K Views
mimi nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na kufanikiwa kupata 2 ya point 21 nikiwa na c kwa kila somo isipokuwa hist na kisw .ndoto yangu hapo baadae ni kuja kuwa civil engineer na katika fomu...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Nilipata elimu yangu ya sekondari kanda ya ziwa ambapo katika shule kadhaa masomo yaliyohusisha vipaji yalikuwa yakifundishwa. Masomo hayo ni pamoja na Fine arts (Sengerema, Nyegezi) Cookery...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwaka jana baada ya matokeo ya 2011 ya kidato cha nne kutokamitandao ya kijamii na vyombo vya habari vilijawa na kejeli kwa binti wa mkuuwa kaya Mwanaasha, binti wa Magufuri na wengineo simply tu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba anayejua yanapopatikana "MATERIALS" ya masomo yafuatayo, hasa huku Tanzania (yaani Dar-es-salaam). Mathematics Biology History Geography Civics English Kiswahili Yaani past papers...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba mnisaidie kidogo hapa, Je naweza kupata statement of result kutoka baraza la mtihani online?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii wana jf,ni kijana wa kiume amemaliza form 4 mwaka jana na kapata division 2 ya pointi 20,anapenda kusoma PCB na ameifaulu vizuri kwa phy-c,chem-c na bio-b.SAsa anaomba ushauri jinsi ya...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ninatoa shukrani kwa Mungu kwa matokeo nilio yapata. Wana jukwaa ninaomba ushauri nifanye nini kulingana na matokeo yangu.... Civs-D Kisw-D Hist-F Geo-D Engl-F Bio-F Phy-C Chem-D...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
NAIBU Waziri wa Elimu Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Kassimu Majaliwa, amesema kuanzia sasa kazi ya kuandikisha wanafunzi kuanza madarasa ya awali na yale ya msingi, itafanywa na watendaji wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom