Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Kada mmoja maarufu wa CCM ambaye pia ni Mjumbe mpya wa Kamati Kuu ya CCM ametoa mpya. Amesema kuwa matokeo ya Kidato cha Nne,kama yalivyo, ni hazina kubwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari watanzania wenzangu. Ni majuzi tu Wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi ilitoa matokeo ya kidato cha nne. Sipendi kurudia tkwim zake mana zinachefua. Tathmini yangu ni juu ya wapi tulitoka...
0 Reactions
0 Replies
935 Views
habari zenu the great thinkers!! tafadhali naomba kufahamishwa faida na hasara za kujiunga na jeshi baada ya kuhitimu chuo!!
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Hawa jamaa wameniambia niwalipe ili wanifanyie interview, mi nimewashangaa! Je hii practice ni common huko duniani au imeanzia Tanzania. Soma hiyo email ifuatayo: TANZANIA INTERNATIONAL...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
siku zote tumezoea kumi bora lakin ajabu juz nimesikia 20 bora na ajabu zaid kule mwisho zilitangzwa shule kum mbov kwann zisingetangazwa 20 ili ionekane ni new style?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Baba wa taifa alisema maneno haya (wazungu watatuchunga kama wanyama wa serengeti) ni baada ya kutoa maelezo marefu kuhusu umuhimu wa mfanyakazi anayeitwa mwalimu akatoa maneno makali sana ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi kwakweli mimi nikiwa kama mtanzania sijaona kaz ya maprofesa katika mchango wowote zaidi ya kwenye siasa,kwa asilimia kubwa kwa tanzania maprofesa ndio wamechangia kuendelea kuanguka kwa...
1 Reactions
1 Replies
967 Views
''WAKATI mjadala wa matokeo mabaya ya kidato cha nne ukiendelea kulitikisa taifa, kashfa mpya ya matokeo hayo imeibuliwa. Kashfa hiyo mpya imeibuliwa na Mkurugenzi wa Shule ya Green Acres, Julian...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Samahani jamani nilikuwa naulizia shule nzuri kwa masomo ya sayansi kama PCB na PCM.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Wanajamvi naomba kuwasilisha maoni yangu kuhusu matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2012. Maoni yangu yatajikita zaidi upande wa waliotumia nafasi zao vibaya na kusababisha matokeo haya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF Ilikuwa mwaka 2010 wakati tunaelekea uchaguz mkuu na pia mitihani ya kidato cha nne. Waziri wa Elimu kipindi hicho Prof Maghembe akiwa ziarani Tarafa ya Ugweno katika shule ya Msingi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Here is a new page that gives YOU a chance to share what is happening in your community.... No offensive, you are all welcome. :A S-heart-2: https://www.facebook.com/TheNativecorner
0 Reactions
0 Replies
701 Views
Kashfa nzito "wanafunzi walichora vekaragosi, yakiwemo matusi, mashairi ya bongo fleva, na wengine kuandika kuhusu mapenzi" WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inaweza kukumbwa na kashfa kubwa...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Kwa haraka haraka baadhi ya wasomi,wanahabari,maafisa elimu na wananzengo wa Tanzania wamejadili kuhusu matokeo wengi wameelekeza lawama kwa wanafunzi lakini mimi kuna kitu nakifuatilia sana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
:nono: DISCOVERED DISCREPANCIES IN THE RECENT NEW TEACHERS’ EMPLOYMENT ANNOUNCEMENT (2012/2013) PUBLISHED IN THE MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING WEBSITE :nono: The following...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za muda huu mwana jf,nimekuja hapa mbele yako kutaka kufahamishwa kitu kimoja,nataka kujua kama mtu ambaye anasoma diploma ya engineering hapa nchini anaweza kupata sponsor wa kudhamini...
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Ephraim Kibonde, mtangazaji wa Clouds FM kipindi Jahazi. Hivi, kuna mtu huwa anamuelewa anisaidie na mie kumuelewa! Mie nadhani huwa anatumiwa na wanasiasa, si bure... Nimefuatilia sana kipindi...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Baada ya kusoma uchambuzi wa Kigwangala kwenye -- kutoka wanajamii, napata hoja kuwa Slaa anapaswa kujibu na kujieleza kuhusu usomi wake -- unaodaiwa hapa chini kuwa ni wa kitaa. Ajibu ama...
2 Reactions
179 Replies
19K Views
binafsi pamoja na matatizo ya serikali yetu kuwa makubwa hasa katika sekta ya elimu maana kuyaondoa tumeshindwa ...tunapiga kelele mwisho wa siku serikali ile ile isyo na dira katika elimu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom