Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Joyce Ndalichako akionyesha karatasi ya majibu ya mmoja wa watahiniwa wa mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2012, Dar es Salaam jana...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Naombeni mnisaidie hivi hii facult ya public relation and marketing inahusika na nn? na ajira zake zikoje? na zinapatikana wapi? na nafasi zake zinatoka kupitia vyombo gani vya habari?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Re: NDALICHAKO: kitu cha ZOMBI By asigwa Haya ndio watoto wenu wamejaza kwenye karatasi za kujibia mtihani wa kidato cha nne.... Tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele.... Msituko wa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Siamin kama 60% ya wanafunz ni bomu. Pia shule za serikali ndo zimeharibu balaa. Iundwe tume irudie kusahihisha mitihani mana nchi hi imekuwa ya kukomoana.
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Wana ukumbi..matokeo ya Kidato cha nne kwa mwaka 2012 yamepokewa kwa hisia kubwa kwa Watanzania wote..Wazazi, Ndugu na Jamaa pamoja na watahiniwa wenyewe. Matokeo haya yameleta taswira mkanganyiko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba sana wale wanajami ambao wamebobea kwenye masuala ya utafiti waandae madodoso yenye lengo la kubaini sababu za wanafunzi kufeli kisha waweke hapa jamvini ili tupata sababu halisi toka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna Mdau katika kikundi cha wanamabadiliko amechambua matokeo ya Kidato cha nne tangu mwaka 2009. Oneni mtiririko 2012 Form 4 results DIV 1: 1,641 (0.4%) DIV 2: 6,453 (1.6%) DIV 3: 15,426...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Katika kipindi cha magazetini cha Radio maria kimeeleza kwamba mkuu wa shule ya Green acres amelalamikia baraza la mitihani baada ya baadhi ya wanafunzi wa shule yake wamefaulu wakati hawakufanya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Juzi niliweka hii mada bwana nilitukanwa balaa. Niliwaambia nimefanya research wakabisha. Somen Tanzania daima. Haiwezekani watu wote wale wapate ziro na wasiofanya wapate three division.
0 Reactions
2 Replies
934 Views
naombeni msaada wenu wana jamii mimi ni mwanafunzi niliyehitimu kidato cha nne mwaka jana(2012) na kupata matokeo ambayo naamini kwa asilimia mia moja(100%) siyo yakwangu, si kwamba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba mnifahamishe chuo kizuri kinachofundisha Ualimu wa Nursery nchini Tanzania? Nikipata jina na contacts zao ntafurahi sana.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
jamani kwa kweli matokeo haya yamenihudhunisha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
matotokeo ya kidato cha nne ni mabaya sana je hapa tatizo liko wapi?kuna wanafunzi wanachukua masomo ya sayansi lakin wamejaziwa masomo ya biashara shule zingine kuna wanafunzi walisimamishwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwanafunzi amejinyonga baada ya matokeo mabaya ya kidato cha4,Source Nipashe ya Leo
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nashindwa kupata picha taifa litakuwa na watu gani siku zijazo kama vijana wetu ndo wanakuwa iv.Miaka minne mtu unasoma afu mwisho wa siku unajibu ujinga.Yanatakiwa maombi ya hali ya juu jamani
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Zitto Kabwe Kuna Mdau katika kikundi cha wanamabadiliko amechambua matokeo ya Kidato cha nne tangu mwaka 2009. Oneni mtiririko 2012 Form 4 results DIV 1: 1,641 (0.4%) DIV 2: 6,453 (1.6%)...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Awali yayote niwapongeze wale ambao wamebahatika kufanya vizuri ktk mtihani wa kidato cha nne 2012 na kuwapa pole wote wasiofanya vizuri. Tunaposema elimu yetu ya kinafiki kihist6ria toka Nyerere...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
jamani ndugu zangu.haamini alichokipata matokeo haya..... amepata division four na alikuwa anasoma shule ya FLANI YA HAPA DAR.....nilimuuliza sababu....za kufaulu akanijibu...... kwa matokeo...
0 Reactions
4 Replies
981 Views
Ni wamiliki wa vyombo vya usafiri wanampango wa kuiandikia serikali barua ya kusitisha ukarimu wao kwa wanafunzi kisa eti wamefeli sana ingawa walikua wakiwabeba na kuwawahisha mashuleni!!!
0 Reactions
2 Replies
910 Views
Muda wowote kuanzia hivi sasa matokeo ya kidato cha nne kwa watahiniwa wa 2012 yanaweza kutangazwa rasmi. Kama kawaida wadau wengi wa maendeleo hususan sekta ya elimu wanatarajia mengi, hata...
1 Reactions
159 Replies
36K Views
Back
Top Bottom