Ni Mtazamo wangu
Nakumbuka nikiwa sekondari ya Mawezi, Moshi.
Likizo tulikuwa tunakutana na washikaji tuliosoma wote primary halafu wakapangiwa special schools Kibaha, Mzumbe, na Ilboru.
Na wale...
Serikali kwa mjibu wa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi kubuni kuwa na mtihani mara baada ya mwanafunzi kujiunga na kidato cha kwanza. Je mtihani wa darasa la saba unatija?
Habari wana JF, Nimelazimika kuwapa pole hawa vijana kwa kazi ngumu wanayoifanya na huyu Kibonde ambaye ki ukweli si kwamba ni kada tu wa MAGAMBA,bali hata kichwani hana kitu!!!!!! yaani ni empty...
msaada wa mawazo yenu ndugu zangu, mdogo wangu ana 4 ya 26 na ana C mbili za english na civic.
Geog ana f, physics, math, chemistry, biology na kiswahli ana D zote.
Nimefikiria kuomba wizara ya...
inasadikika kuwa Tanzania ni nchi pekee baran Afrika yenye lugha moja inayounganisha watu wake wote na haijakopwa kokote. lakini nchi yenyewe haitaki kufaidika na hyo tunu inang'ang'ania lugha ya...
Wadau napitia hoja zinazotolewa humu kuhusu matokeo ya Kidato cha Nne ikanikumbusha mijadala mikali iliyokuwepo ya Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la 7 kuwa ni mabaya sana. Hivi nini...
habari zenu ndugu
samahani wadau kuna ndugu yangu ananisumbua kuwa matokeo yao ya qt ya mwaka jana 2012, yametoka anaomba nimuangalizie.
Sasa nimekwenda web ya necta hakuna kitu kama hicho...
Fahari wawili SERIKALI vs WALIMU
Hivi karibuni tumeshudia malumbano ya kimasilahi baina ya walimu na serikali na hatimaye kupelekana mahakamani na serikali kupinga kisheria walimu kuendelea na...
baada ya kukubwa na sitofahamu ndani ya miezi mi5 wanafunzi wapatao 215 juu ya pesa zao za kujikimu kutokufika, na bodi kuishia wapa ahadi za kuwambia tunawapa na kuwapelekea allocation zao, na...
Kila mara yatokapo matokeo ya kidato cha 4 na cha 6 kunatokea kundi flani wanaojiita Wanaharakati wa upande wa kushoto kazi yao kwenda kwenye vyombo vya habari na kulalamika kuwa watoto wao...
Nataka kupata majina yenu na nijenge hoja. Nijenge hoja,kama raia wa kawaida wa nchi hii,kuwa mnapaswa kurudia mitihani ya kidato cha nne. Kama si kutungiwa mitihani mipya basi mrudie mitihani na...
Mtu anayepata divion zero aka Dunia duara anawezaje kuandika haya?
"nawashangaa wabunge, wamekaa kama wapo kijiweni, wabunge wamekosa ustaarabu, badala ya kujadili kero za wananchi waliowachagua...
Yeah ! Mimi ni miongoni mwa candidate wa mwaka jana 2012 .Bado naamini kila kilichotokea kwangu was fate
Nina C ya chemistry na yalyobaki yote D
Big deal mawazo kutoka kwenu nifanyaje ?
Wakuu nawasalimu....!
jamani me naomba mwenye uelewa wa ndani kuhusu elim ya bima nifafanulie tofauti, faida na hasara, na taratibu za bima kati ya comprehensive na thirdparty.
nategemea msaada...
Wanasema kila jambo lina uzuri na ubaya wake...hivi karibuni tu Taifa la Tanzania limepokea matokeo ya form four ya mwaka 2012. Matokeo yanaweza kuwa mazuri au mabaya,kwenye hili tunazungumzia...
Nawaomben msaada wa matokeo nipo kijijin ambako taarifa nazpata kwa simu kupitia JF. Naomba mniwekee matokeo ya form four_2012. Namba ya shule S.4100 (salama)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.