Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Natoa rai kwa wote mliofeli mtihani wa kidato cha nne kuwa makini na wanasiasa wanaowachonganisha na serikali yetu tukufu ya Tanzania. Wanasiasa hao wamekuwa wakiwafanya muichukie serikali yenu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
jamani mi nilikua naumwa na sijaenda chuo tangu kimefunguliwa ila nafuatilia kwa karibu wanachosomeshwa wenzangu,maana wananirushia topic mi nazicheki cheki home na google so napata kidogo sio...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Wadau wan jf, kulikuwa habari kuwa majina ya ajira mpya za walimu yangebandikwa leo j5. Mimi nilijua ni kwenye websites husika. Lakini mpaka sasa hakuna. Mbali na kupigika kitaa, tungepende kuona...
0 Reactions
20 Replies
22K Views
Mimi ni kijana niliye maliza kidato cha nne mwaka huu, na matokeo yangu ni kama ifuatvyo, D-civ, D-hist ,D-kisw ,D-eng na nyenginezo ni F, kwa maana ni four ya 31, sasa kama cheti changu kipo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
cbg
Imefutwa!?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nakumbuka mwaka jana yalipotangazwa matokeo ya Form 4 kuna kijana mmoja aliyefanya mtihani huo ikaonekana badala ya kujibu maswali yeye alijikita zaidi kwenye kuandika mistari (tungo za bongo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Lowassa alisema matokeo hayo ni aibu kwa taifa na kuilaumu Serikali kwa kuzitelekeza shule za sekondari za kata.Alisema taifa kwa sasa linazalisha wabeba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu hili janga la wadogo zetu wa 4m4 ni janga zito kwa kiasi flani ukiangalia kwa jicho la tatu watu wengi humu jamvin tumekua tukitoa rawama tu na kutafuta mchawi nani huku mda ukiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Ikitokea bei ya bidhaa imeshuka sana, uchumi wa nchi utakuwa umepanda au umeshuka? Na kwa nini?" Kwa mfano ikitokea soda imeshuka bei kutoka Tsh 700/- had Tsh 150/-.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
jaman naomb mnisaidie matokeo ya kidato cha sita META HIGH SCHOOL mwaka 2007
0 Reactions
10 Replies
8K Views
wadau wa elimu kama wanafunzi wanaweza kujiuwa kwa sababu ya matokeo inakuwaje waziri na naibu waziri wa elimu wanakuwa na majibu ya dharau kwa watanzania kwamba hawatajiuzulu kamwe Raisi na...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
International Media Studies Scholarships, Germany Germany's international broadcaster Deutsche Welle invites journalists from around the world to apply for full scholarships to study in Bonn...
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Ni janga la kitaifa...na dalili ya kifo cha Taifa... Haya ndiyo maneno niliyomjibu binamu yangu miaka mitano (5) iliyopita alipokuwa akinipa matokeo ya mtihani wa Taifa Kidato cha nne Tanzania kwa...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Kwa masikitiko makubwa Taifa letu la Tanzania kwa makusudi tumeamua kuwaachia viongozi wahuni na wapuuzi wa serikali ya CCM wachezee akili za watu, ndugu watanzania wenzangu naomba tufanye...
0 Reactions
4 Replies
911 Views
nimesikitishwa na kitendo cha NECTA cha kutotumia majina ya wanafunzi badala yake wametumia namba. kwa jinsi matokeo yalivyomabaya wanafunzi wengi watadanganya namba zao au watakuwa wagumu kutoa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
History D Civics D Kiswahili D maths D geog C chemistry C Biolog C PHY D ENG C
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Nimeona wahitimu wengi wa form four wakiulizwa wanampango gani after matokeo yao unasikia wanajibu wanataka kwenda college no matter how much wamefaulu mtu ana II na III badala ya kwenda advance...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
akihutubia maelfu ya waislamu katika viwanja vya kidongo chekundu jijini dar es salam,katika kuhitimisha maandamano ya kupinga filamu ya kumkashifu mtume, shekh Ponda aliuwambia umma wa waislamu...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Wadau hivi ni sahihi kumpima mwanafunzi aliesoma miaka 4 kwa mtihani mmoja tu wa NECTA?Kama ni kigezo sahihi inakuwaje kwa mfano mtu anapata division 1 kidato cha 4 alafu mtu huyo huyo anakuja...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom