Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Matokeo mabovu ya CSEE 2012: Waziri Mkuu aunda Tume kuchunguza 23/02/2013 0 Comments TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameunda Tume maalum itakayofanya uchunguzi wa matokeo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati taifa likipigwa na butwaa kuhusu matokeo ya kidato cha nne. hebu tujikumbushe watu waliotufikisha hapa tulipofikia ...... soma gazeti la wakati huo mchakato wa kudidimiza elimu ulipoanzia...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Nahitaji shule bora A-Level inayopatikana maeneo yenye baridi yenye comb za PCB,PCM na CBG na mawasiliano yake
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mamlaka ya VETA inatoa elimu kwa wahitimu wa kidato cha nne (Form iv leavers) hata kama wamepata Divisheni 0! Pia VETA imetoa ithibati kwa vyuo mbalimbali nchini kutoa mafunzo ya aina hiyo kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Green Acres Bw. Bujugo ameumbuka baada ya kutoa habari zisizo za kweli juu ya matokeo ya shule yake, akishutumu NECTA kwa kile alichokiita uzembe mkubwa. Baadhi ya tuhuma za Bw...
0 Reactions
52 Replies
12K Views
Kwa wadau wa elimu. Wakuu nimesikia hizi tetesi kuwa kutokana na ufinyu mdogo wa wanafunzi watakaojiunga kidato cha 5 mwaka 2013, Wizara ya elimu inatarajia kushusha sifa za watahiniwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kutokana na ufahulu mbaya wa wanafunzi wa kidato cha 4 wa mwaka 2012, sasa mitihani hiyo kurudiwa upya na serkali itagharamia gharama zote na hii ni kwa ajili ya kuliepusha taifa aibu ambayo...
2 Reactions
65 Replies
10K Views
Shule ya msingi mwasa kata ya kidete station tarafa ya kidete wilaya ya kilosa mkoa wa morogoro haaina choo takriban miaka 5 walimu na wanafuanzi wanajisaidia vichakani shulae iyo ina wanafunzi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF hivi karibuni matokeo ya kidato cha 4 yametangazwa tena na Waziri katika hali ambayo haikuzoeleka. Dr. Ndalichako kama mwanafalsafa na mama hakuonekana kuwa na furaha juu ya matokeo hayo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimehangaika sana tangu jana kufanya online registration bila mafanikio, nimefuata maelekezo, na pia nimeshalipia kwa njia ya M pesa, lakini kila nikibofya ili kucreate user name inaandika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ugonjwa huu unawasumbua sana wafugaji wa kuku (na jamii yake) na mifugo mingine. Ziko aina kuu mbili za ugonjwa huu kwa kuku kutegemeana na eneo ambalo linashambuliwa kwenye utumbo. Coccidia...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
ina deal na nini pamoja na sehemu zake za ajira msaada kwa hili
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Na Editor 21st February 2013 Katika toleo la jana ukurasa wa tatu wa gazeti hili, tulichapisha habari yenye kichwa cha habari `Ajira mpya za walimu zaibua mapya wizarani.' Tulieleza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waziri wa Elimu amesema chanzo cha wanafunzi kufeli ni kuzibwa kwa mianya ya wizi wa mitihani,Je haya ya kweli Jf
0 Reactions
11 Replies
1K Views
habari za leo ndugu ,jamaa na marafiki nilikuwa naomba msaada wa kujulishwa mahala ambapo ninaweza kupata syllabus za masomo ya phy,chem na maths ..... Ahsanten
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Nimesoma hapa kwenye thread ambapo NAPE anatamba kwamba ana MPA ya Mzumbe. Huwa nacheka sana nikiona mtu anaetamba kwamba ana MBA au MPA ya Mzumbe. Nacho ni cheti cha kujivunia? Nilianza masters...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
The Functions of the National Examinations Council of Tanzania To formulate examinations policy in accordance with the principles of education for self reliance and the education and training...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Vituko haviishi bongo, Wananchi wilayani Busega mkoani Simiyuwametaka kuondolewa kwa Mwalimu mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja kwa madai kuwa ni "Freemasons". Wananchi hao...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
"Ikitokea bei ya bidhaa imeshuka sana, uchumi wa nchi utakuwa umepanda au umeshuka? Na kwa nini?" Kwa mfano ikitokea soda imeshuka bei kutoka Tsh 700/- had Tsh 150/-.
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Dear Nape Nnauye as you are aware of bad education system in Tanzania i call for the urgent discussion based on below questions. Our discussion should be condacted in English. Please confirm to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom