Jaman mimi nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na matokeo yangu yapo kama hv
phy=c
b/m=c
bios=c
chem=c
geo=c
eng=c
civ =c
hist=f
kisw=f
sasa swali langu ni kwamb kweny chet wataandka ii au iii...
Watanzania, Vijana wenzangu,wazazi, wadogo zangu,kaka zangu,dada zangu, tuache mizaha, tuache siasa, tuache kila kitu walau hata kwa sekunde tano,tujiulize nchi hii inakwenda wapi? tupo katika...
Watanzania, Vijana wenzangu,
wazazi, wadogo zangu,kaka zangu,
dada zangu, tuache mizaha, tuache
siasa, tuache kila kitu walau hata
kwa sekunde tano,tujiulize nchi hii
inakwenda wapi? tupo...
ANGALIZO KWA KAKA /DADA NA WADOGO ZANGU WOTE MLIOPO VYUONI NA MNAOTEGEMEA KUMALIZA CHUO
Mi ni graduates wa chuo kimoja cha uma mwaka 2010 and nakummbuka sana stories tulizokuwa tunapiga enzi za...
sisi kama wazazi tunashindwa kukuelewa mkurugenzi wa bodi ya mkopo elimu ya juu tz, wanetu wanalalamika hawajapata mkopo, tunakuja bodi kujua labda wanatatizo tunafika mnatumbia hawana tatizo pesa...
habari wana jamvi,mimi ni miongoni mwa walimu wapya ngazi ya shahada kutoka UDSM nimepangwa mkoa wa MARA wilaya ya BUNDA ,naomba kujua je shule za high level zipo hapo maana nimepangwa masomo ya...
Ajira mpya za walimu wa Sekondari,shule za msingi na vyuo. Inasemekana zinatoka kati ya JANUARY 5-15 Mwakani. Na wote waliomaliza vyuo wataajiriwa, Maisha mema walimu wetu.
Majukumu ya wizara ya elimu ni kusimamia mfumo mima wa utoaji wa elimu. Kimsingi ukitazama matokeo ya kumaliza shule ya sekondari na msingi kwa miaka 3 ya mwisho kbala ya 2012 unaweza kushindwa...
Habari wadau.
Utaratibu gani hutumika kukata RUFAA NECTA? Kwan kuna mtoto wa jiran yangu ameniomba msaada juu ya hilo.
Naomba kueleweshwa ili nami nimsaidie dogo
Natanguliza shukran
Katika uchambuzi wa magazeti leo redio one na gazeti la nipashe wameweka wazi kuwa leo ndio siku yakuyatoa matokeo hayo.
MATOKEO RASMI YANAPATIKANA HAPA ->...
imekuwa kawaida ya wasichana kufanya vizuri na mara nyingine hata kuleta ushindani kwa wavulana lakin kwa matokeo haya ya mwaka huu noma kweli yan wametimuliwa vumbi mno almost more than two...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.