Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Nimekuwa na dhana tofauti juu ya uchafuzi wa mazingira, viongozi wetu wamekuwa wanatoa miongozo mbalimbali ya utunzaji wa mazingira na athari ambazo zinaweza kuletwa na uchafuzi wa mazingira...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nataka kununua gari hapa Dar(showroom) na kulipeleka Kagera,Lakini ninavyofahamu gari kama hujabadilidha umiliki,haina bima na haijalipiwa motor vehcle licence haiwezi kuingia barabaran hadi uwe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za jumapili wana JF"hivi neno" PLAZA"lina maana gani na pia kiuhalisia linabidi kutumika katika majengo ya namna gani au jengo lolote linaweza kuandikwa hilo neno?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa walimu wa shahada hapa chuo kikuu kwa ambao hawajapangiwa ni wale walosoma Bed,yani somo moja la kufundishia,na hawa walimu wanaexpirience ya kufundisha vyuo vya ualimu,je unafahamu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mdogo wangu kapangiwa kazi maeneo ya hapa wilaya ya Mwanga na anasema hataki kufanyia kazi hapa,anasema akipata mtu wa kubadilshana nae akaenda Tanga,Ye ni GradeA.Jameni tumemshauri hajafurahi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
??????? Naomba munijulishe maana nataka jua kama kweli wametangaza maredioni
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mikoa mipya kama Simiyu, Katavi, Geita, Njombe. Nauliza itaonekana kutambulika lini sababu nimepita lakini sijaona mwalimu aliyepangwa katika hiyo mikoa tajwa kunani, au ndio yale ya kulipana...
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Jamaa kasoma BA.PUBLIC ADM. Ya mzumbe, kalamba ualimu ajira mpya 2012-13, history and civics teacher, anasubiri kuripoti march, ama kweli ajira noma sa si ni bora angepiga education tu. Alifanya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi ni mwl. wa shahada natafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi.nimepangiwa moshi wilaya ya siha natafuta mtu wa kubadilishana aliyepangiwa mikoa ya morogoro,iringa,dodoma na anataka kwenda...
0 Reactions
1 Replies
691 Views
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
0 Reactions
0 Replies
837 Views
Na Mwinyi Sadallah 16th February 2013 Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, ametaka mitaala ya vyuo vikuu isaidie wahitimu vyuoni...
0 Reactions
1 Replies
801 Views
NATAFUTA MWALIMU WA KUBADILISHANA NAE NIMEPANGIWA BUKOBA VIJIJINI. NATAKA KUFANYA KAZI MKOA WA PWANI, MOROGORO,MTWARA. Tuwasiliane kwa namba 0766216814
0 Reactions
2 Replies
993 Views
Habari zenu wapendwa, mimi ni miongoni mwa walimu wapya grade 3 nimepangwa Mwanza wilaya ya kwimba kwa yeyote aliyopo Dodoma wilaya yoyote na anapenda kufanyia mwanza kama yupo tayari tubadilishane,
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Changa la macho Ajira za walimu; walimu wengi kila chuo wameachwa, UDOM takribani 1000, Mwenge takribani 300, Mount meru takribani wote,UDSM 200, SEKUCO takribani 400, SAUT takribani 600 bado...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Najua kwa namna moja au nyingine ntawakela ila ujumbe utakuwa umefika!!! Wahitimu wengi wanaotoka Tumaini & CBE universities wanaendekeza njaa kwan wamekuwa wanakubali mishahara midogo hasa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Namtafuta Mwl Epifani Nicolas amesoma chuo cha ualimu Mhonda, kwa anaemjua au yeye mwenyewe anicheki kwenye 0762 87 51 37
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani, mm ni mwl wa shahada (BSc Ed). Nimepangiwa Dodoma mjini, Bihawana secondary. Natafuta mtu wa kubadilishana ili mm niende Mbeya. Tuwasiliane kupitia 0764860999
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wale mnaosoma kozi ya Bachelor of Philosophy with Education na mnategemea ajira za serikal anzeni tu kujitafutia ajira mapema maana serikal itawanyima post kama wenzenu wa BED:(
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hello
0 Reactions
7 Replies
2K Views
katika kile kilichoonekana wanafunzi baadhi walikuwa wamekosa nafasi za ajira ya ualimu baada ya jana kutoka kwenye mtandao wa wizara ya elimu, Kisandu na Mh.Shekifu waliwasiliana kwa ajili ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom