Hii nchi inatutaka nini sisi walimu? Hivi wizara kutangaza fedha zetu ajira mpya zijenge nyumba za walimu si kututafuta maneno tu? Tunaanza kuvurugwa hata hatujashika chaki zenyewe? Ela zetu ndo...
Profesa Muhugo waziri wa Elimu akitamka kwa ubabe na ukali katika mwaliko wa mahafali ya4katika chuo kikuu Mkwawa,alisema waalimu wote watapangwa kijijini,nawashauri muvumilie,mie nlipangwa...
Wanafunzi 315 wa Chuo kikuu cha SAUT Mwanza hawajapata Mikopo ya elimu ya juu tangu septemba mwaka,hali ambayo imewafanya zaidi ya wanafunzi 30 hadi sasa kuacha chuo kutokana na maisha...
Habari ndugu zangu? Naomba uniasaidie kuangalia alikopangiwa kufanya kazi: jina; Neema M. Mbise, ngazi ya shahada - Elimu Maalumu. Nitashukuru kwa uungwana wako.
Australia Awards Scholarships
Australia awards Scholarships are available for international students who want to live and study in Australia for full time undergraduate or postgraduate study. They...
KATIKA mkutano wa Bunge uliomalizika wiki iliyopita mjini Dodoma, Mbunge wa Kuteuliwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR- Mageuzi, Ndugu James Mbatia, aliwasilisha hoja yake akitaka Bunge...
South Africa's Fort Hare closed after violent protests
Students barricaded the campus entrance and blocked staff from getting to work
Related Stories
South Africa's Fort Hare University...
Nilishangaa nilipoingia kwenye Library ya NBAA na kukuta ma-shelve ya kuhifadhia mikoba yametolewa nje halafu kuna tangazo kwambaWeka mkoba wako hapa lakini uulinde mwenyewe. Kitu chochote...
Naona nyuzi nyingi za watu kusifia vyuo,lakini tunaangalia GPA,Matokeo ya mwaka huu,katika college zote,MC,DUCE,Coet,Muce inaongoza kwa GPA Za 1Class 16wakati MC Wana 1class moja,sio siri hao...
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
Am deeply concerned on why the govermemt denied employment to all Bachelor of education(BED) graduates for the simple reason that they are meant to be teachers but rather tutors. My take kwa nini...
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) sasa kinakamata nafasi ya sita katika Vyuo Vikuu 100 bora vya Afrika. Orodha kamili iko hapa:2012 World University Ranking | Top 100 Universities in Africa
Hayawi hayawi sasa yamekuwa,kilio kimesikika,wanafunzi wote wa vyuo vikuu boom laki nane na ada wote kulipiwa na serikali kuanzia march, Rais na wa waziri wa elimu kusimamia zoezi zima,
ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.