Students GPA has always been considered as rating of the quality and ability of students who have completed certain course. Since many years this has been so, Even in employment many organisations...
Na Hellen Mwango
Wanafunzi 18 wa vyuo vikuu nchini wameburuzwa mahakamani baada ya kubainika kushindwa kerejesha mkopo uliowawezesha kupata elimu ya juu kutoka Bodi ya Mikopo...
Wadau, wapenda maendeleo wote!
Kuna mpango maalumu wa kufungua madarasa huru, kila kijiji cha nchi hii, lengo ni kuwaandaa Watanzania wote na ukombozi wa nchi yetu 2015. Tunataka kila mtu aone...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU AJIRA YA WALIMU WAPYA WA SHULE ZA MSINGI, SEKONDARI NA VYUO VYA UALIMU TANZANIA BARA MWAKA 2012/13
Jumla ya walimu 26,537 wameajiriwa Serikalini kwa mwaka wa fedha...
Ni furaha ilioje kwa walimu kusikia taarifa ya ajira zao ! Tunawatakia maandalizi mema ! Na kwa wale wa kidato cha nne endeleeni kuwa wapole maana haijulikan siku wala saa necta watakavyowasuprise
walimu wenzangu kuna shule ukipangwa ni zaidi ya jela fanya utafiti kabla hujakurupuka. shule isiyo na nyumba za walimu, vyoo, staffroom, umeme, network, iko jangwani kusiko na all wether road...
Maana imekuwa kawaida kusikia nao wakiitwa madaktari hasa huku kwetu uswazi, naongelea hawa waliosemea hizi diploma za medical assistance....etc . Wanaitwa madokta nao wanaitikia na...
Habari wanaJF!
Nimehuzunika sanasana tena sana leo hii baada ya kuwaona na kuwasikia Mawaziri wa Elimu ndugu Dk Kawambwa na Mulugo wakitangaza Ajira mpya za walimu zaidi ya elfu...
Safari hii ni Bible Knowledge na Islamic Knowledge. Mitihani hii miwili imezua sintofahamu na kusababisha matokeo ya Kidato cha Nne kuchelewa kutoka. Yalipaswa kutangazwa Jumatatu ya tarehe...
Jamani Naombeni Ushauli: Nimetimuliwa Hom Sasa Naishi Maisha taiti Wanahisi Nilifeli Mtihani Ndomaana Sjapata Kazi. Nawaambia Post Hazjatoka Lakni Hawaamin! Noma Zaid Gazeti La Mwananchi...
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
Serikali kupitia wizara husika imetangaza mpango wa wanafunzi 5000 waliomaliza kidato sita kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa kwa mujibu wa sheria, kama ilivyokuwa hapo awali kabla ya mpango huo...
Introduction
Sikika is a non-governmental organization that advocates for quality health services for all Tanzanians. The organization works to ensure equitable and affordable quality health care...
Kwa muda mrefu sasa katika nchi ya Tanzania kumekuwepo na wazandiki ambao wanasambaza uongo na uzushi kuwa mitihani inasahihishwa kidini. Wazandiki hawa wanazusha kuwa, watu wa dini fulani...
Mwenye idea ya wapi naweza access full scholaship ya PHD kwa course za mazingira na maendeleo naomba anisaidie.
Asanteni kwa wote mtakaoguswa kunipatia taarifa hii muhimu kwa ustawi wangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.