Huku kukiwa na takribani miezi miwili tuuu tokea Rais J.Kikwete kukizindua Rasmi Chuo cha Nelson Mandela maarufu kama Nelson Mandela African Institute of Science and Technology, kashfa nzito, na...
Wana jf.naombeni ushauri nataka kutafuta chuo ili nisome course fupi yenye soko,mbali na hotel nishaurini nichukuwe course gani.
Naomba iwe course fupi kwa mujibu wa anaenisomesha ndo anataka...
Inaonekana kutokana na wingi wa shule mpya za kata zenye kupokea wanafunzi wa kidato cha 5 matokeo yamecheleweshwa ili kustandardise alama za wanafunzi kwa hyo hadi wenye alama za chini...
wadau nchi yetu ya Tz imeshikiliwa na wanasiasa kiasi kwamba kila sehemu ni siasa tu. sasa imefikia hata kwenye swala la msingi kama ELIMU nalo limewekwa kwenye siasa. mambo mengi yamekuwa...
Hi all,
This is february, second month of year 2013 of our Lord. I hope you all had a fruitful January and that some of you, as per their habit or as per their new years resolutions, did read a...
Wanafunzi 18 wa vyuo vikuu nchini wameburuzwa mahakamani baada ya kubainika kushindwa kerejesha mkopo uliowawezesha kupata elimu ya juu kutoka Bodi ya Mikopo (HELSB).
Washitakiwa hao...
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, naibu waziri wa elimu katika serikali JK ametoa mpya ya kufungua mwaka baada ya kuulizwa juu ya maendeleo ya mitihani ya kidato cha sita iliyoanza leo...
Ikiwa tayari wanafunzi wengi wamemaliza UE na wengineo kukaribia maliza hivi karibuni, tayari idadi kubwa ya wanafunzi wameacha chuo kutokana na ukata mkubwa uliosababisha kufukuzwa kwenye nyumba...
Mwalimu afundisha shule nzima|na Danson Kaijage, Mpwapwa
SHULE ya Msingi Kiboriani, wilayani Mpwapwa, mkoa wa Dodoma, inakabiliwa na uhaba wa walimu na hivyo kusababisha mwalimu mmoja pekee...
Wanafunzi wote wa kidato cha kwanza 2013 wameanza kufanya mtihani wa maarifa sehemu mbalimbali nchini kwa lengo la kuwabaini wale wote wasiojua kusoma,kuandika na kuhesabu.
Mtihani umegawanyika...
Wanasiasa wa Tanzania wamekuwa ndio chanzo cha kushuka kwa elimu ya Tanzania, matokeo mabovu ya darasa la saba, kidato cha nne na kile cha sita chanzo ni wanasiasa. Na kumbuka Mh. Joseph Mungai...
SHULE ya Msingi Kiboriani, wilayani Mpwapwa, mkoa wa Dodoma, inakabiliwa na uhaba wa walimu na hivyo kusababisha mwalimu mmoja pekee aliyepo kufundisha darasa la kwanza hadi la saba.
Akizungumza...
Hellow wanajamii,Naitwa Martha Christian nasoma chuo kikuu Tumaini Makumira Arusha.natafuta sponsorship ya kusoma masters,ninaomba mfadhili wa kunisomesha.popote maana nina nia, namba ni 0657440107
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
> 2013 World University Ranking
Top 100 Colleges and Universities in Africa by University Web Ranking. Link to it ♥
2013 World University Web Ranking Top...
Mfumo wa elimu napendekeza ubadilishwe kuanzia shule ya msingi kwa walimu wenye sifa za degree na kuendelea kwa kuwa kufundisha ni kujenga taifa lenye nguvu na linaloweza kujitegemea. mtoto mdogo...
Natumaini mu wazima wa afya wana Jf,
Jamani nilikuwa naomba msaada wa agency number ya ubalozi wa china nchini Tanzania kwani nafanya application ya scholaship kwa online sasa siwezi kuendelea...
Nilikuwa nataka kufahamu wakubwa hivi veta ni miezi gani huwa wanachukua wanafunzi wapya kwa mikoa mbalimbali hapa Tanzania.Naomba msaada kwa anayejua nataka niende nichukue baadhi ya maujuzi
Students GPA has always been considered as rating of the quality and ability of students who have completed certain course. Since many years this has been so, Even in employment many organisations...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.