Leo Tuongee Asubuhi Star TV mada ni mustakabali wa Elimu. Uchambuzi unafanyika kuhusu maendeleo ya Elimu, mwalikwa (Mwl. Chacha) anaonekana kiasi kupingana na makala ya Bw. Kitila Mkumbo ya hivi...
Wakuu,
Wengi mtakumbuka ukifika form one unakutana na kiingeleza masomo yote, wakati ule shule zote zilikuwa kayumba format, kwa hiyo tulipata tabu sana hasa tuliochomokea vijijini kujua lugha...
Tanzania imetoa nafasi mbili kwa mwaka huu, UDSM nafasi ya 6 na Hubert Kairuki ya 98. South Africa bado ipo kileleni kwa kutoa vyuo 6 kati ya 10 za kwanza. http://www.4icu.org/topAfrica/
Ukisikia mtu anahema kwa kutwita kama yupo mpirani,na ana woga kama kuku anaetaka kuchinjwa ujue NECTA wame fichua siri ya matokeo.ivi karibuni tu watu watazimia,wengine watafurahia,wengine uzuni...
Jamani kuna chuo kinaitwa TANZANIA AVIATION UNIVERSITY COLLEGE kipo Tabata mnakizungumziaje? Vigogo na baadhi ya binadamu wasiokuwa na huruma wanakula pesa za bure za watanzania wanaotafuta pesa...
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
'Practise had made perfect',all form six as the varified candidates should make sure that when they're in the room of an exams under an invigilator should not show sign of cheating or using an...
Hello, jf salamun: natafta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka Morogoro wilaya ya kilombero kuja mbeya- Rugwe. naomba tuwasiliane.... kwa .... namba: 0756683840 or PM
Yap haya maneno yanakuwa yanachanganya sana wa2....inafikia kipind some of p'po wanakuwa wwana shout kabissa kwa kusema institute is bettr than UV and vise versa.....so wana JF kama kuna m2 yupo...
Nahitaji kusoma degree ya kwanza kwa njia ya mtandao ili kujiendeleza uelewa wangu zaidi,naweza kupata wapi chuo nikasoma kwa njia ya online nikiwa naendelea kufanya shughuli zangu za kila...
Hello Jamiiforum Am i need of sponsorship for Masters studies.and i want to study abroad and not in Tanzania. My name is Martha Christian from Tumaini Universty Makumira, Arusha Tanzania
Utata Umegubika Ajira Za Walimu 2013 Zilizosemwa Kutangazwa Januari Kama Rais Kikwete Alipoudanganya Umati Huko Kigoma Ktk Uwanja Wa Barafu Pia Waziri Mlugo Nae Akatoa Tamko Kuwa Ni Januari! Wote...
kwa habar nilizopata ni kwamba necta wametangaza kuwa bado matokeo yanaendelea kufanyiwa mchakato yakiwa tayari yataonekana kwenye mitandao ya jamii kuwen na subira 4m four mtafaulu2
SAMAHANI WADAU MATOKEO YAKITOKA BASI ATAKAYE WAHI TUFAHAMISHANE KAMA YAMETOKA ILI NIFANYE MCHAKATO WA KUYAFAHAMU. Maana Wengine tuko INTERIOR. Ni kwa namba hii 0763631449
Heshima yenu wakuu!
Leo hapa Dar es Saalam katika chuo kikuu cha Dar es Saalm sehemu ya Mlimani kumezinduliwa rasmi mashindano ya vyuo vikuu vya Afrika Mashariki vikijumuisha Tanazania, Uganda na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.