Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kusema ukweli mfumo wa elimu ya tanzania bado hipo chini/duni.wanafunzi wanapoanza shule za msingi ufundishwaji wao hauzingati vitendo vya kumwelekeza mjifunzaji. Tumeishia kukariri na mwishowe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Uwa najiuliza sana kwanini bongo wasomi wanaongezeka kila kukicha na elimu ilivyo ngumu ya O level na advance level. Kiukweli mtu akipita hizi level kwa kicha chake ni mkali sana. Ila kuna watu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Matokeo ya kidato cha nne yanatupa presha sana. Ni kutokana na mabadiliko ya idara ya elimu na mafunzo.kwa wengi wetu tunajua kuanzia tarehe 8 mwaka huu wa 2013 wa pili ndio matokeo yetu kidato...
0 Reactions
27 Replies
13K Views
Nawatakia maandalizi mema ya mitihani ya mwish wa muhula wanasua wenzangu Mungu awe pamoja nasi ili tuweze kuyakumba yale tuliyojifunza kwa ajili ya kujibia mitihani yetu.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani habari! Kama kuna mdau yeyote aliye karibu na uongozi wa UDSM anisaidie, nahitaji kujua UDSM calendar yao ya mwaka huu unaoanza (new academic year, Je semester one wanafunga lini? na...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Ni scholarship ya South Korea, kwa wanaohitaji Masters au PhD, ni Government Scholarship maan yake serikali ya South Korea italipia kila kitu. Swala uwe unamalizia au umemaliza Undergraduate kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa wale wafuatiliaji mambo ya bunge hivi ni nani ameudanganya umma kuhusu mitaala ya elimu Tanzania? Mbatia aliyesema nchi haina mitaala na kama ipo apewe ili ajiridhishe? au ni Dk. Kawambwa...
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Watoto wa shule, Tupeni feedback, mmefaulu? Maana mlipiga kelele sana...oh matokeo lini..mara oh tunacheleweshwa..mara necta wanatubania....
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Asilimia 72 ya fedha za ruzuku inayotolewa na serikali kwa ajili ya kuwapatia pesa ya motisha walimu, hazifiki shuleni na kuwafanya walimu hao kukosa ari ya kufundisha. Kwa mujibu wa taarifa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi vyuo visivyo sajiliwa kwa nin serikali wanaviacha vinaendesha mafunzo tena kwa fees ya juu sasa cha ajabu ukimaliza ukiomba kazi unaambiwa chuo ulichosoma akitambuliki. Hapo juzi kuna watu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
▲ Country Number of universities 1. India 8,407 2. United States 5,758 3. Argentina 1,705 4. Spain 1,415 5. Mexico 1,341 6. Bangladesh 1,268...
1 Reactions
0 Replies
955 Views
82% ya wanafunzi nchini Zimbabwe wamefeli mitihani yao na miongoni mwa sababu zilizotajwa kuchangia ni uhaba wa walimu. Inasemekana zaidi ya walimu 35,000 wamekimbia nchini humo kwenda kufanya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jaman wadau naomben mnipe mihula ya kufunga na kufungua shule za sekondar 2013 (o_level & A_level) coz mwaka wa jana wizara imewasumbua sana walim,wazaz na wanafunz.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mnakaribishwa nyote hapa chuoni university of DAR ES SALAAM (MLIMANI) kushuhudia mashindano ya michezo mbalimbali kwa vyuo vya Afrika Mashariki. Takriban vyuo 38 vitawashiriki na mashindano...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mtaani kuna tetesi kwamba matokeo ya form four yame release out so kuna ukweli gani juu ya taarifa hizi? Kwani kuna ndugu zangu wana nisumbua sana wana dai kuwa yametolewa but kila niki gugle no...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni kwa wale waliopitia clinical officer, kuna mpango wa kuanzisha bachelor of clinical medicine kwa miaka mitatu ambayo itakuwa tabora na mtwara. Sasa sijui huko watajifunza basic sciences(the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifatilia mjadala wa bunge tangu kuanza kwake wiki iliyopita, wamejadili na kuuliza mambo mengi kuhusu wizara ya elimu, lakini sijasikia mbunge yeyote akiuliza kuhusu kuajiriwa kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale watu wa hesabu hebu tusaidieni hili.....................
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Habari wana jamvi leo naomba kuulizia kama ni kweli Chuo Kikuu Cha Dar es salaam kimejiandaa kikamilifu kupokea na kuandaa mashindano ya Vyuo Vikuu Afrika Mashariki na Kati , kwani nategemea kua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom