Wana JF naomba niwashirikishe niliyoyakuta kwenye Chuo kikuu kipya kilichoko Arusha kinachoitwa Nelson Mandela African institute of Sciences and Technology. Chuo hiki kipya kiko katika hatua za...
Katika hali ya kushangaza serikali imekua inaweka usiri mkubwa sana katika swala zima la mambo ya elimu mfano kutolewa kwa post ambazo zimeleta athali kubwa kwa vijana wengi hasa wale walioamini...
Kwa ndugu zangu wachagga natumaini mtakuwa mnaujua mtii huu, Sale (Isale) ambao ni mti wa asili kwa imani za asili za kabila la wachagga.
Nimejaribu sana kuugoogle na hata kuulizia mti huu kwa...
Nashindwa kuelewa serikali ina mpango gani na walimu jamani? mtu anajitahidi kusoma kacertificate kake au kadiploma, au hata kadegree kamoja jamani kwa tabu zake zoote, wengine kwa kuungaunga...
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
Kwa kawaida au katika hali halisi, kazi ya kulea vifaranga hufanywa na kuku mwenyewe. Hivyo ili kulea vifaranga, mfugaji ni lazima aige kuku anavyofanya. Ikumbukwe kuwa vifaranga husumbuliwa...
Shule ya Queens' Medium School iliyopo Ukonga inatafuta Secretary anayeifahamu vizuri Computer na anayefahamu vizuri kiingereza. Piga Simu kwa Lilian Wasira, Director, No. 0719 604156
Walimu wanalalamika sana juu ya malimbikizo ya mishahara,madai ya fedha za likizo na migomo yao kutokuwa njia mbadala ya kupata haki zao.Mtazamo wangu ni kuwa ili wajikomboe, wote wanaolalamika...
Kwa muda mrefu sasa suala la kuwaelimisha kinadharia na kivitendo vijana wetu hasa mashuleni kuhusu kujua chimbuko lao kama waafrika linazidi kukosa mashiko. Kunaweza kuwa na nadharia nyingi...
Jamii forums ni zaidi ya elimu. Nakuomba uandike maneno hayo chini kwenye simu yako ya mkononi usambaze kwa marafiki zako kumi wajiunge jamii forums
(Mimi nipo jamii forums home of greater...
Habar wana jf,
kwa walimu mliotegemea kuajiriwa january na serikal, kwa wengi wenu n vijana so maisha ni leo/sasa kwan hiyo ahadi/tumain ishapotea na aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa, pia...
Wakuu, mi nilikuwa mwl wa vodafasta, nilikuwa nafundisha Hesabu, baadae niliamua kujiendeleza na elimu ya chuo kikuu, baada ya kuondoka katika kituo changu cha kazi niliicha majonzi mengi kwa...
Muhimbili University of Health and Allied Sciences has been ranked the best university in Tanzania in 2012/13 by University Ranking by Academic Performance (URAP) Research Laboratory
Tarehe mbili mwezi huu nilibahatika kuitembelea shule yangu Ilboru,nilihudhuria pia mahafali ya 20 ya hii shule. Wadau shule yetu bado inafanya vizuri.....vijana bado wanalitunza jina la shule hii...
A stroke, brain attack, or a Cerebrovascular Accident (CVA), is the sudden death of brain cells caused by a lack of supply in oxygen to the brain. There are two main types of stroke:
i)Ischemic...
Wandugu naomba mnisaidie kulielewa hili maana akili yangu hapa imegoma kuelewa, nijuavyo mimi high learning institution huwa zinahamasisha watu kijisomea hata kama vyuo vimefungwa, sasa cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.