Breacking newsssss......!!!
Hallow taarifa kwa wanachama,na makamanda wa chamanda kutakua na uchaguzi mwezi wa tatu tarehe 16.03.2013 siku ya jumamosi.wanachama kwa anahitaji kuwa kiongozi fomu...
Hii radio kila nisikilizapo napata kitu kipya na muhimu sana katika maisha yangu. Radio zote bongo zingekuwa kama radio Imaan hakika tungekuwa mbali sana. Nasikiliza Radio Imaan hapa mkombozi wa...
Kati ya kazi ambayo serikali kwa makusudi imeamua kuifanya ionekane ni ovyo ni ualimu. Haiwezekani walimu tu nchi hii ndo wenye madai mengi yasiyo lipika,mazingira magumu ya kufanyia kazi...
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
Ni hv punde 2 nimepata hii sms kutoka kwa mwenzangu ambaye 2nasubir wote ajira za ualimu kutoka serkalini sms imenishitua kidogo kwani inasema hv:
WALIMU WAPYA TUKUTANE DAR KUANZIA TAR...
PENGINE haya tunaweza kuyaweka kwenye kundi la
madhara yatokanayo na utandawazi. Mitandao ya kijamii ipo inayowasaidia wanafunzi katika masomo yao na kazi, lakini wengine wanatumia mitandao hiyo...
Kwanza kabisa niwape pole sn madenti wanaosongoka leo nataka niwakumbushe maeneo fulani na majina kwa kila shule nilizopita nianze na ILBOYZ majina km Golgota pale mtiani inakofanywa, doms km kibo...
Nilitaka kujua kuhusu vitabu vya walimu vya kufundishia, kila mwalimu anaagiza
mwandishi wake wa kitabu kiasi kwamba inatuchosha wazazi, mtoto aliyesoma mwaka jana na kitabu mf. hesabu mwaka huu...
Kwanza nianze kuomba radhi kama sijaielewa sana hoja ya Mh Nchemba ya mfuko wa Elimu ya juu. Nasema naomba radhi kwa sababu kama serikali muda wote imekuwa ikijisifia kwa kuongeza fedha ktk...
Wanajf, Lyabusalu secondariipo moa wa shinyanga km 45 kutoka shinyanga mjini, tangu ianzishwe mwaka 2007 haina jengo la utawala, mkuu wa shule na walimu wanakaa kwenye darasa moja, hii ni moja...
Habarini Wakuu.
Je inawezekana mwanafunzi kuahirisha kufanya mtihani wa kidato cha sita hapa Tanzania?
Kama inawezekana, je ni kwa sababu zipi?
Ikiwa mwanafunzi anataka kuahirisha mwaka huu...
Kwamba bado ajira hazijatoka, ndo wanavoambiana walimu waliohitimu masomo yao ya shahada za ualimu huko mtaani, wenyewe wanaziita BA au BSc.AJIRA..miezi nenda rudi , ajira bado, mtu mzima mindevu...
muda mwinggine unatamani uchukue kiboko na kuanza kuchapa wanafunzi wanao zurula mitaani wakati vipindi vya masomo vikiendelea,mfano hapa mtaani kwetu ikifika saa 3 asubuhi,tayari kundi la...
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
Raisi JK kikwete na Philipo Mulugo naibu wazili wa Elimu na mafunzo ya ufundi kwa wakati tofauti walitangazia uma posta za walimu wapya ni mwezi january 2013 lakinihajakua hivyo zaidi ya...
Amani
iwe nanyi ndugu zangu kwa heshima yangu kwenu naomba kuwasilisha
matokeo kidato cha nne fulani ili uweze kunijuza kama inawezakana kwa
matokeo hayo muhusika akapata chuo cha umeme...
Nimetumikia serikali miaka4 nikaomba kwenda kusoma nikanyimwa ruhusa .ila wapo walimu pale Bagamoyo wamefundisha miaka2 na wamepewa ruhusa ,DEO Unanionea sana kwa sababu wewe umeshika makali.Eti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.