Mimi ni mhitimu wa UDOM kwa mwaka 2011. Tuliambiwa tulipie Tsh 45,000/= kukiwa na mchanganuo wa Tsh. 25,000/= kwa ajili ya malipo ya majoho na Tsh. 20, 000/= kama dhamana ya Joho, yaani...
+++ AFRIKA KOMMT! Scholarship Programme 2013-2015 +++ Open for Applications +++
Afrika Kommt! (Africa is Coming) is an initiative of leading German DAX-listed enterprises and large family-run...
Na Daniel Mjema : moshi:
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) lina mpango wa kuanzisha vyuo vikuu vitatu vitakavyokuwa vyuo vikuu vishiriki vya chuo kikuu cha Makumira...
Bodi ya shule ya sumve high school imewarudisha nyumbani wanafunzi wote wa kidato cha sita baada ya kugomea adhabu waliyopewa na makamu mkuu wao wakidai wanataka kwanza wasikilizwe matatizo yao
Wadau,
Wale tuliogonga pepa za NBAA leo, poleni sana. Maana kitu cha MA kilisimama sana, na wale wa Module E naona IF ilikua ndefu mno.
Masaa matatu yasingetosha kumaliza yale maswali yote...
hivi ni vyuo gani hapa nchini ambavyoo vimetoa watu maarufu,mashuhuli na viongozi wengi serikalini ninavyovifahamu....mimi ni
UDSM......prof.ibrahim lipumba.............................world...
Struggle For Smarts? How Eastern And Western Cultures Tackle Learning
Struggle For Smarts? How Eastern And Western Cultures Tackle Learning : Shots - Health News : NPR
In 1979, when Jim...
Kama kuna member anaweza nisaidia nitawezaje juu ya dar es marine college nataka form, fees ni how much, how many years, kuna hostel
ama ni day college, how many
units are taught au kama kuna...
nataka kujiunga na chuo cha misitu anayefahamu, kiko mahali gani, na maelezo kuhusu hicho chuo anijuze. kwa sababu sielewi nianzie wapi, asanteni wana jf.
MKUU wa Shule sekondari ya Bagamoyo, anadaiwa kupandikiza chuki za kidini huku akiwapachika ugaidi wanafunzi
Waislamu wanaoswali swala tano.
Mkuu huyo anadaiwa kuwaita wanafunzi hao kuwa ni...
Leo Nlkw Maskani Na Washkaji Zangu Kuna Jamaa M1 Anatafuta kazi basi mkamwambia aniachie CV yake.. Jst In case of anythn Niiwasilishe. Akanipa. Kuicheki Duh nilistaajabu. Jamaa kasoma vyuo viwili...
Jaman kama kuna mtu anaifahamu.BACHELOR OF ARTS IN ECONOMICS.naomba anisaidie ukichukua degree ya hiyo fuculty utafanya kaz gan hapo baadae?na kwa upande wa ajira unaweza kujiajiri au ndo serikal...
wadau naomba msaada nataka kujua figure kamili ya ada pamoja na michango yote mpaka unamaliza master ya environmental technology and management hinayotolewa na ardhi university
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.