Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari zenu wadau. Naombeni msaada wenu wa haraka ili niweze kupata novel hii ambayo ni muhimu sana katika dissertation yangu. Hapa Dar nimeikosa, nimecheki na Nairobi haijafika. Tittle: BROKEN...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Katika kile kinachoonyesha kuwa mabadiliko ndani ya jamii hayaepukiki,wahitimu wa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya wavulana ya mzumbe iliyopo hapa morogoro wameendelea na msimamo wao wa...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Ni muda sasa tangu mkapa foundation walichukuwa majina ya waliomba udhamini wa mafunzo ya afya lakini mpaka hii leo hakuna kilichojili! Plz wanajamii f- kama kuna yeyote anayejua kinachoendelea...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
FAST FACT Nationwide, while nearly 28 percent of women had received a bachelor's degree by age 24, only 19 percent of men had done so in 2009-10. Source: U.S. Bureau of Labor Statistics Total...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu! Nimependa nilete mada hii baada ya Kuona CV ya mhe:mmoja ambaye wakati akisoma B.A.Economics pale Udsm mwaka huo huo alikuwa anasoma kozi ya mambo ya Utawala katika chuo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Naombeni anayejua matunda aina tano yasiyo na mbegu 1.Ndizi 2. 3. 4. 5.
0 Reactions
27 Replies
47K Views
Nimepata taarifa kuwa Chuo kikuu cha Ekernforde kilichopo Tanga hakijasajiliwa na Baraza la Famasi kutoa mafunzo ya ngazi ya cheti (Certificate in Pharmaceutical Sciences) na diploma (Diploma in...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
2g Of solute Into 200ml Distilled Water, Then Draw 50ml Of The Solution And Dilute To 100ml.What Is The Dilution?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakubwa, naomba kwa yeyote anayefaham wapi masomo ya kifaransa, kichina, kilatin na kihindi kwa hapa dar es salaam, wapi ntapata pa kuyasomea? Tafadhali tuwasiliane kwa 0762972021 au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
2013 Software Engineer Intern, Africa Trainee Program - Zurich This position is based in Zurich, Switzerland. The area: Engineering & Operations Google is and always will be an engineering...
1 Reactions
0 Replies
784 Views
Hadithi inayokuja, ni ya Sungura sikia, Hadithi uliyongoja, leo ninakuletea, Alitoka siku moja, njaa aliposikia, Nja aliposikia, Sungura nakuambia Siku ile akaenda, Porini kutembelea...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
KATIKA kipindi cha mwaka 2012/13, serikali imetangaza kuwa kila mwanafunzi katika shule za sekondari za serikali nchini, ametengewa kiasi cha sh 25,000 kwa ajili ya huduma mbalimbali wanazopatiwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Labda nikupe desa tu 1. Ndizi 2. Nanasi Endelea?
0 Reactions
17 Replies
45K Views
Awali mwalimu wa BAGAMOYO SEKONDARI alibakwa na wanafunzi wake, mkawasingizia walimu. Baadae wanafunzi wanagombana na mkuu wa shule tena mnasingizia waalimu, 1. Ipo laana inawatafuna wakuu na...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
wana jf kunakitu kinanitatiza sana jua limetulia au na lenyewe linazunguka kwenye muhimili wake maana kuna mahali nimesoma inasema nalo linazunguka kwenye muhimili wake
0 Reactions
1 Replies
2K Views
D I T ni chuo kikubwa sana Tanzania .. ni chuo Ambacho kinajulikana kila pande ya nchi kwa sifa yake kubwa ya kuzalisha Waandisi wa FanI mbali mbali .. Ilo sipingani nalo maana kina lecturels...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Savour this opportunities and reach your professional goals! Funding opportunity for students of developing countries - Sheffield Hallam University International Achievement scholarship...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo kwenye Mkutano mkuu wa Chama cha CCM wamekipandisha hadhi kilichokuwa chuo cha ufundi Mbeya kisha taasisi ya Science na Technology hatimae Mbeya Universit of Science and Technology, Ni hatua...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
who are the sophists? deliniate the purpose and content of their instructional progamme. what were the sigificance contribution to greek education
0 Reactions
2 Replies
973 Views
Heshima kwenu wana jf,naomba wenye kufahamu kuhusu hizi programmes mbili wanisaidie kunielewesha vizuri 1.Bachelor of Community Economic Development(BC EDP) 2.Bachelor of Arts in...
0 Reactions
3 Replies
991 Views
Back
Top Bottom