Kwa wale waliosimamia mtihani wa taifa kidato cha pili 2012 au wadau wengine wowote wa mtihani huu, naomba tujulishane mchanganuo wa posho ya usimamizi, semina na nauli kwa wasimamizi wakuu na...
Leo wakati natoka kazini na natembea kwa miguu, nikasikia wanafunzi wa kike waliokuwa mbele yangu wakimshutumu mwalimu wao mmoja kuwa amezidisha tabia yake mbaya ya kutembea na wanafunzi. Wakadai...
06/11/2012
By Mohamedi Mtoi
Picha zinawaonesha wanafunzi waliokuwa katika chumba cha darasa wakifanya mtihani wa Taifa wa kidato cha pili ulioanza jana nchini kote Tanzania.
Wanafunzi hawa...
Ni kituo cha Mabasi ya Mikoani Ubungo. Naingia kukata tiketi ya Arusha. Nimeshaipata. Sasa wakati natoka nje,nawakuta madereva wa taksi na bajaji wanawazonga vijana wawili:mmoja msichana,mmoja...
Hawa jamaa kuna watu wamewanyima mkopo kwa sababu za kitoto kabisa eti
1.kozi siyo priority wakati kuna wanafunzi wamepata mikopo bila kujali kozi za kipaumbele,
2.vilevile wamesema Tcu walikosea...
Nimesikitishwa sana na kuona wahitimu wasio na sifa kutunukiwa shahada zao bila kufanya mitiani yao ya mwaka wa tatu hata mmoja. ...................hii ni usibitisho tosha ma Profesa wetu kwa...
kwa wote waliosoma Kahororo Sekondari nadhani mtakua mnamkumbuka Mwl. Agricola-mtaalamu wa somo la Phyiscs, ni kwamba mwalimu wetu huyo anaumwa na yuko hapa Dar es salaam akipatiwa matibabu...
Top 20 Universities and Colleges in Africa
1 University of Cape Town South Africa
2 Universiteit Stellenbosch South Africa
3 University of Pretoria South Africa
4...
Kuna haja ya Uongozi wa chuo kukemea vikali uvaaji mbovu wa mavazi,haswa hii jinsia ya kike mavazi wanayovaa ni balaa nusu uchi bila aibu wanaingia leacture theatres na wanafanya presentation...
Pia ningependa kujua range za ada za shule nzuri private za day km shaaban robert, mzizima, jitegemee, makongo, Mbezi beach, mbezi high. maana wakati huu wa kutafuta shule mnaweza kuwa na...
Hivi vyuo vikuu kutokuwa na uniformity ya ufundishaji na kupelekea kutofautiana katika course, mfano, programme flani kuwa na idadi tofauti za course kwa vyuo tofauti, ina maana hakuna chimbuko rasmi?
Hafsa Golo
SERIKALI ya Oman inatarajia kujenga kituo cha kisasa cha kiislamu Zanzibar ambapo ndani yake kitakuwa na msikiti mkubwa, madarasa sita, chumba cha kompyuta na maabara.
Balozi Mdogo wa...
Hivi hakunaga elimu ya juu kwa mambo ya usalama wa raia? Naona polisi wote wakishamaliza chuo chao cha Moshi wakitaka kusoma zaidi wanasomea vitu vingine kabisa eti Bachelor of Art in History????????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.