Kwa Dunia ya sasa tumeona wenzetu wakisoma fan tofaut tofaut na kwa kiwango cha degree ama zaid, ili kurahisisha maisha na kupata fursa zaid, Je hapa kwetu fan zip tatu muhim mtu anaweza kuwa nazo...
wadau hii imaekaaje kwa udsm kuwafanyia usaili wanafunzi wanaojiunga na masters ya linguistic mwaka huu kwa wale wanotoka vyuo tofauti na udsm ianamaana hawaamini kuwa kusoma vyuo hivvyo...
Hebu nisaidieni jamani hii course ya BACHELOR OF PUBLIC ADMINISTRATION IN RECORDS AND ARCHIEVES MANAGEMENT ina soko tz na hawa watu wanafanya kazi gani na wapi?
Arusha kuna chuo kipya kinaitwa SUYE HEALTH INSTITUTE masomo yameanza leo, nafasi bado ipo kwa waliokosa vyuo vya wizara ya afya, changamka muwahi kabla ya Ijumaa. Piga simu 0754 269625 kwa...
Unaweza kumdu kuwadanganya baadhi ya watu wakati wote, na unaweza kumdu kuwadanganya watu wote nyakati fulani. Lakini huwezi kumdu kuwadanganya watu wote wakati wote.
Je, sasa watanzania tuamini...
Ndigana Kali ni ugonjwa hatari unaowapata ngombe ukiwa na dalili ya homa kali, kuvimba kwa matezi, upumuaji wa shida na vifo vingi hasa kwa ndama. Ni ugonjwa unaoenezwa na kupe wanaojulikana...
Hatimaye wanaanza kukubali makosa yao
JK akiri makosa ujensi wa sekondari za kata
Na Jackson Odoyo na Happy Lazaro, Arusha
RAIS Kikwete amesema Serikali ilifanya makosa makubwa wakati wa ujenzi...
Vijana wachadema mlio vyuo mbalimbali nchi nataka niwashauri jambo moja chama chetu kimekuwa sana kila mtanzania mpenda maendeleo atakiri hilo,ila tatizo tukiwa vyuoni watu tunawekeana hadi visasi...
KATIKA JINA LA MUNGU BABA, MUNGU MWANA, NA MUNGU ROHO MTAKATIFU ALIYE
BWANA NA MWOKOZI WA ULIMWENGU WOTE NINAKUOMBA UIBADILI, NA UIBARIKI
FAMILIA
YANGU, KAKA ZANGU, DADA ZANGU, WAZAZI WANGU...
Mgogoro mkubwa umeibuka katika Shule ya Sekondari ya Bagamoyo mkoani Pwani kati ya wanafunzi wa Kiislamu na Kikristo na kusababisha Mkuu wa Shule hiyo, Bonus Ndimbo, kuikimbia shule na familia...
ELIMU YA JANDO NA UNYAGO:
Sio Elimu ya kuiga mambo ya Mila zingine[hakuna mapokeo ya mila nyingine],ili lenga jamii husika tu.
Hakuna Cheti kinachotolewa,bali wote wanafaulu
Kumbukumbu ya...
wadau poleni na ujenzi wa taif. Jamani kuna mtoto wa jirani yangu,maeneo ninapoishi wamegoma kumpeleka shule baba hataki asome ukimuuliza sababu nn hasemi, mtoto ana miaka km kumi au 11 ni wa...
habari wanaJF,
naomba kama kuna mtu anafahamu mahali certification hizi zinatolewa hapa Tz anijulishe.
1.Occupational Safety and Health Management(OHSAS18001:2007)
2.ISO9000/TS16949 (Quality...
Public Speaking: From Petrified to Powerful in 10 Steady StepsFollow Mark's Tyrrell's journey from a presentation panic attack to confidently speaking to an audience of 500
Mark Tyrrell, formerly...
A&P Prime College of Business-Dar Es Salaam(APPCO)..
Chuo cha kisasa kinachotoa mafunzo ngazi ya Basic Certificate,Advanced Certificate na Diploma.
Kozi zifuatazo:-
1.Business...
Chuo kikuu Sokoine Morogoro, Hostel ni tatizo kubwa sana.Wanafunzi waliopo ni kama mara tatu ya Hostel zilizopo, Wanachuo wanalala wawili wawili a. K.a kubebana lakini wapi....wengine wamepanga...
FFU ni sehemu ya Jeshi la Polisi ambacho chimbuko lake ni kikosi tangulizi cha askari 31 wa Jeshi la Polisi la Makaburu wa Afrika Kusini, chini ya Major Stephen T. Davies, kilichoazimwa kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.