Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Utoaji wa mikopo(boom) kwa system ya batch(awamu) unakera kwn had sasa ni awamu ya kwanz tu ndo wamepata bado awamu mbil yaan ni full msoto espcial for 1 year!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima yenu wana jukwaa,naomba kwa mwenye kufahamu anifahamisha wapi nitapata CDs za kuona za kujifunzia kiingereza kwa watoto,naomba na bei zake.,asanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
who controls the past controls the future, who controls the present controls the past. "Don't worry about that for now. Just know that it's fear that keeps most people working at a job. The fear...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nifuate taratbu gan kuhamisha loan?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hi, I am a new member here at JF just joined to share the great experiences and expand my scope of mind with my fellows. I am by the way a first year student admitted at The University of...
0 Reactions
3 Replies
932 Views
EUROPE: "In Greek mythology, Europa was a Phoenician princess who was abducted by Zeus in bull form and taken to the island of Crete, where she gave birth to Minos. For Homer, Europa was a...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limewapiga mabomu mamia ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kimnyaki iliyopo wilayani Arumeru walioandama kwenda katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa wale wanaosoma Duce naomba kujua deadline ya course regisstration kwenye ARIS mwisho ni lini? nawasilisha
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habar zenu wana jamvi,nilikuwa naomba msaada wa kufika chuo cha uhasibu kutokea Posta nahitajika kupanda magari gani? Na pia kituo kipi nashukia! Isingekuwa vibaya kma mngenijulsha gharama...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Anayetaka kubebwa main campus aje na kilo1.6 sms 0659669686
0 Reactions
1 Replies
1K Views
W WANA-JUKWAA KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAPENDA KUULIZA NIFANYEJE NIPATE SPONSORSHIP YA KUSOMA MASTERS IN EDUCATION KWA OPEN UNIVERSITY???:A S cry:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari? Naombeni niwasilishe swali kwa niaba ya wengi. Nauliza mwenye any updates za postgraduate scholarship nchi yoyote. 7bu wengi tunapenda kuendelea na masomo baada ya hii shaada ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari za asubuhi wakuu. naomben msaada pakuanzia maana nimepoteza vyeti vyangu,cha chuo na form six.nianzie wapi. plz naomben msaada wenu wa mawazo maana naamini sana hili jukwaa
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari yenu wanajamii . Naombeni msaada wenu wale waliosoma open university .je kwa aliyemaliza kidato cha nne na kuchukua ECD Diploma anaweza kujiunga .sana sana kwa mkoa wa Mwanza b'se after...
0 Reactions
0 Replies
840 Views
katika pita pita zangu kwenye mitandao mingine ya kijamii nasikia wanafunzi wa chuo kikuu mzumbe mwaka wa tatu wanalalamika pesa zao kwa ajili ya mazoezi ya vitendo (field) zimechakachuliwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa msamaria mwema yeyote{wakiume} aliyeko mabibo hostels atakaeguswa na tangazo langu,bac naomba anipe huo msaada na mungu atamzidishia ktk maisha yake.asanteni
1 Reactions
17 Replies
2K Views
vipi jamani, naombeni kuuliza hivi muda wa kuappeal bodi ya mkopo umeisha.
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Source::::Oral Quesyionaire.:....Maelezo yanaonyesha vyuo vikuu baadhi hasa mlimani..:::Mc......Baadhi ya kana dada wanajiuza........Sasa sijui ni kua hela wanazopewa na wazazi au bodi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanajamvi hivi katika ya hawa waziri na naibu waziri wa Elimu nani ana afadhali katika utendaji wizarani, kujibu hoja bungeni, na kweli walistahili kupewa wizara hii nyeti(pre-primary, primary...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Toka Bodi ya Mikopo ianze shughuli ya kukusanya mikopo yake iliyotoa imekua ikichukua fixed amount kati ya Sh.10,000 na 30,000 ya basic salary ya waajiriwa wote. Saizi imetoa maelekezo kwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom