Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

TO EVERY ONE WHO CAN SOLVE THIS Question: A and B can do a piece of work in 21 days and 24 days respectively. They started the work together and after some days A leaves the work and B complete...
0 Reactions
0 Replies
834 Views
WanaJF Nimekutana na wanafunzi wengi sana wakiandamana na mabango yaliyoandikwa ' HATUMTAKI MWALIMU MKUU ' wakielekea kwa mkuu wa mkoa,wamesimamishwa na Polisi na FFU eneo la Sakina kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
i need your help please i want to know why mwalimu nyerere referred primary education as refugee education in Tanzania ?
0 Reactions
0 Replies
761 Views
President Jakaya Kikwete is on Friday this week expected to officially launch the Nelson Mandela African Institute of Science and Technology (NM AIST), which is located in Tengeru area on the...
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Najua unapata picha nini nazungumzia... Kiukweli sijajua mahusiano ya haya mambo mawili... Kwanin mtu akisoma sanasana haya masomo notes anakuwa anahsi usingzi kwa sehemu kubwa.. Nin...
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Wadau hivyo ndivyo tangazo linavyosomeka kwa walioitwa kwenye oral interview pale udom kwa baadhi ya post kama vile graduate nurse n.k,,lakini kuna baadhi ya post hasa academic post kama vile...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani kama unataka ku- MP mtu unafanyaje? au kuna ulazima wa namna ya kujisajili? naomba msaada kwani kila nikijaribu nashindwa.
0 Reactions
3 Replies
897 Views
Hivi kweli inaingia akilini kuwa walimu wageni kwa walimu wa shule za awali na msingi? hii inatokea kule bomang'ombe kuna shule zenye walimu wa nje sina hakika kama hivi vibali vinatolewa kwa...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Tukumbushane hapa,...Kwa wasichana kale ka mchezo ka kusugua.............::::::,Wavulana nao mambo ya masoap,,..,Kugombania chakula,......Na Mengine,,wewe ulifanya kautundu gani...:
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Ni wiki ya tatu sasa toka 1st year kuingia chuo na baada ya kufika kwa haraka 1st year walitangaziwa kusaini pesa zao lakini chuo kimeendelea kukaa kimya bila kutoa taarifa kwa nini wanafunz wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hi, I am a new member here at JF just joined to share the great experiences and expand my scope of mind with my fellows. I am by the way a first year student admitted at The University of...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wana jf nashindwa kuelewa,kwanini baadhi ya vyuo wanasema ni vya kata ilihali elimu yetu bado ni kucopy tu?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Serikali imetoa Waraka wa Elimu Na. 4 wa mwaka 2012 unaozuia wanafunzi wa DRS la VII, Form IV, VI na Diploma mwaka wa II kutofukuzwa shule/chuo kwani kufanya hivyo kunasababisha usumbufu kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Shule ya Sekondari ya Kata ya Ndevelwa iliyopo mkoani Tabora imeweka historia kwa kuwa na wanafunzi watoro kupindukia. Form Four wamebaki wanafunzi 3 kati ya 36. Form Three yupo mwanafunzi 1 kati...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo ndio siku yangu ya kwanza kuandika uzi hapa Jamii Forum, hasa hapa kwenye jukwaa la elimu. Jamani naomba msaada wa kuniondolea hiki kinacho nisibu kwa muda mrefu. Eti kwa nini BARAZA LA...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Somebody help me to join in 2013-14. Plz
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo OUT wamefanya mahafali yao huko mkoani Pwani. Wahitimu wamejitapa kuwa wao ni bora zaidi kuliko wahitimu wa vyuo vingine. Wanasikitika kuwa wanabaniwa sana kwenye ajira. Hiki siyo chuo cha...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
naomba mnijuze mnaohusika hapo je kuna ambaye ameshapata mkopo?
0 Reactions
1 Replies
942 Views
jamani mimi ni mwanafunzi wa udom (bsc.mathematics) nataka kufanya field bank katika idara ya programming kwahiyo naomba msaada wa kimawazo ni programming language ipi ambayo bank hupenda kutumii...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
wakuu heshima kwenu,kuna hii NGO inaitwa HIGHER LEARNING STUDENT SUPPORTING FUND wanajitangaza kuwa wanatoa mikopo kwa elimu ya juu,kuna mtu ambae amekwisha nufaika na mikopo yao?au ni wajanja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom