Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naomba msaada kwa yeyote mwenye notes za 1.MARXIST THEORY OF SOCIAL DEVELOPMENT 2.BOURGEOIS/ORTHODOX/MODERNIZATION THEORY OF DEVELOPMENT 3.MARXIST WORLD SYSTEM THEORY OF DEVELOPMENT NA 4AFRICAN...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Nimekuwa nikifuatilia harambee ya kuchangia tuzo ya Mwalimu bora kutoka kituo cha television cha ITV na baaada ya muda nilijiuliza swali moja: JE MWALIMU BORA TANZANIA ANAPATIKANAJE? Swali hili...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nikwanzia asubuhi tupo HESLB kufuatilia issue ya 2nd year waliokosa mkopo mwaka jana, issue ni hot watu wana munkali board wanadai wametuma majina chuon but for further clarification tunawataka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama upo Dar na umechaguliwa kujiunga Tanga nursing school naomba tuwasiliane
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Ikumbukwe wanafunzi wengi walio mwaka wa pili vyuoni walikosa mkopo kutoka bodi ya mikopo (HESLB) na bodi ikaagiza kwamba wakifika vyuoni waombe tena (appeal) kwa shilingi elfu tano na hakuna...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kachemka tena!!! Leo akijibu swali la Mh Mbatia kuwa ni lini serikali itarudisha mfumo wa 3 K's (kusoma, Kuandika na Kuhesabu), amesema eti serikali itarusidha mfumo wa 3 R's yaani Reading...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Katika nchi kama yetu ambayo Waafrika ni maskini sana na wageni nai matajiri, kuna uwezekano mkubwa kwamba mwafrika akiruhusiwa kuiuza ardhi, katika miaka themanini ijayo, ardhi yote ya Tanganyika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ikumbukwe wanafunzi wengi walio mwaka wa pili vyuoni walikosa mkopo kutoka bodi ya mikopo (HESLB) na bodi ikaagiza kwamba wakifika vyuoni waombe tena (appeal) kwa shilingi elfu tano na hakuna...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
As one headmaster runs away from his school in Bagamoyo with his Christian students and Muslims take to the streets again today in DSM after the Friday prayers, our end is now nearer than ever...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
Mgogoro mkubwa umeibuka katika Shule ya Sekondari ya Bagamoyo mkoani Pwani kati ya wanafunzi wa Kiislamu na Kikristo na kusababisha Mkuu wa Shule hiyo, Bonus Ndimbo, kuikimbia shule na familia...
0 Reactions
192 Replies
15K Views
hapa kuna msuli ni nooooma! asaiment, kozwek na semina ni mchakamchaka.:israel:
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Maduu wa udsm sasa wanavaa kiasi matiti yapo nje nje! Kwa staili hii kweli tutafika? Kweli siku za mwisho zimekaribia
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau naomba kujuzwa sehemu naweza kusoma program ya SPSS, gharama zake na kwa muda gani,,ila iwe ni dar es salaam.Natanguliza shukrani za dhati.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana-JF nijuzeni wapi na kwa namna gani nitapata sponsorship ya MASTERS IN EDUCATION ktk mwaka wa masomo 2012/2013?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Boom latema, juzi humanities na social science,jana education,informatics,na natural&earth sciences leo wote tunafurahi
0 Reactions
33 Replies
3K Views
What are the source of clay soil
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jihadhari naKijana huyu wa Kikenya anayetumia account ya FB ya Fr. Theodore Walters kuombamsaada wa nauli kumsafirisha mmoja wa wanafunzi wanaodaiwa kufadhiliwa gharamaza masomo na Fr.Walters huko...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Napenda kutoa ushauri kwa wanafunzi wote waliokosa mkopo kufanya mambo yafutayo:1.kuwa na umoja katika kudai haki yenu, haki haiombwi inadaiwa, wasiwepo wanafiki wowote wa kuwarudisha nyuma, njia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamii forum hope wote wazima.Napatikana Ubungo karibu na stand kuu ya mabasi ya mikoani.Nahitaji mtu yeyote ambae ana utaalam wa kutumia programme ya matlab kuna vitu aje anisaidie awe na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari za saa hii wana jf, kuna jamaa yangu katoka kwenye interview jana, katika kunisimulia yaliyomkuta huko kanieleza kwamba kaulizwa swali hili.. *may you please call yourself* naombeni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom