Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hii ni fakalti inayo tolewa udom,sasa wakubwa hii inshu ajira zake zimekaaje,plez mawazo yenu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
amani mbona kila ninapofungua account ya helsb ilikua apeal ina nambia the index number does not exist kuna yeyote mwenye tatizo kama hili na ufumbuzi wake jamani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani wadau ninapenda kuuliza mtihani wa form 6 kwa form six wa mwaka huu unafantika lini kwa sababu haielewek nilin hasa utafanyika kwa aliye na taarifa rasmi tupia haapa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
naomba kujua tuition fees ya coz ya applied geology, hela ya field na SFR.manaake wengine nasikia wanasema 1200000 , 1500000
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Elimu yetu inachezewa na wengi wakiwemo wakuu wa shule Hawa wamejisahau sana 1wengi wao elimu zao ndogo kuliko walimu wanaowaongoza tatizo linaanzia hapo kwani ukipinga chochote ni dharau 2...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jf kuna rafiki yangu anataka kuanzisha website ambayo itakuwa inatoa notes za masomo ya sayansi. Vp hii idea ni nzuri au.
0 Reactions
1 Replies
966 Views
Vijana wote wa kidato cha nne mnaoanza mitihani yenu ya taifa kesho Mungu awatangulie mkafanye kama itakavyompendeza ili kila mmoja wenu akavune kwa kadiri ya alivyopanda.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naomba mnisaidie ku kokotoa % nimepatiwa 3643500 ada 1020000 course Comp. Eng je hiyo ni % ngapi?
0 Reactions
31 Replies
10K Views
Kwanza nawasalimu wanajamii wote! Naombeni mnifahamishe system ya kupata malazi nje ya chuo ikiwa utakosa h0stel maana mda umekaribia, msaada tafadhali waungwana.
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Vijana wengi wanapopata nafasi za kujiunga na vyuo huwa wanafurahi saana na kuona kuwa wamepiga hatua kubwa saana na pia huwa hawashauriki wakiamini wameshafika mahali ambapo wanaweza kujiamulia...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Naomba mnisaidie nimejaribu kuwapigia cm zao za mezani hawapokei kwenye website yao wamesema mwisho kulipa ada na michango ni tarehe 30 nikilipa kwa sasa watanigomea
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1. Tutorial Assistant (TA)-Huyu niyule Mhadhiri wa chini kabisa ambaye yeye ana Shahada ya Awali tu kwenye fani yake. 2. Assistant Lecturer ( AL)-Huyu ana Shahada ya Uzamili(Masters) katika fani...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Nishachoka kusubiri hawa tcu mana hawasemi ni lini wana release haya majina.kwa kweli shida 2pu. Km kuna m2 ana tetesi juu ya jambo hili anijuze.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi Nlikuwa nawaita NGWADA..wewe jee??
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi mwaka 2011/2012 ckujiunga na masomo kwasababu ckupata mkopo lakin chaajabu na kusitisha mwaka huu niliambia previes loanee kwenda board naambia nadaiwa 2471250/= nauliza naambiwa hela...
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Kuna upungufu wa madawati 1,836,402. Hii ni sawa na asilimia 49.1 ya mahitaji. Kwa maneno mengine karibu nusu ya watoto wetu katika shule hizo za msingi wanakaa chini kama si kukaa watoto wanne...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tafadhali naombeni msaada kama kuna mtu kafanikiwa ku-appeal
0 Reactions
4 Replies
1K Views
The student lives close to Sinza kwa Remi, the teacher is needed for four hours a week (2hrs/day). Please contact 0655 85 66 77
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo amesema kufeli kwa baadhi ya wanafunzi hakutokani na walimu kutokamilisha mitaala bali kutokana na uzembe wa wanafunzi wenyewe, waziri...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Changamkieni utiaji saini ktk accomodation & meals allowances kwani chuo kimetoa muda wa siku 2 kuanzia 2/10/2012 hadi 4/10/2012. Kumbuka self control on money expenditure.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom