Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

msaada kwa hili la mkp kwa wanafunzi wanaoendelea ambao mwaka jana walikosa ndo wamepigwa chn au?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana Jf. Waungwana naombeni ushauri wenu,nimemaliza degree ya kwanza,bado sijaajiriwa,natarajia kwenda chuo kwa postgraduate diploma,ila nawaza nisome fani ile ile ama nisome fani...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Samahani wana jf kwa yeyote alieskia au tetesi kuhusu wale ndugu zetu waliokosa mkopo mwaka jana na mwaka huu wameomba tena lakin mpaka leo hakijaeleweka wanatoa majibu lini?maana vyuo ndo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau nimepata nafasi ya kusoma master's kwenye University moja hapa Tanzania. Admission letter yao inanielekeza ku-CERTIFY nakala za vyeti vyangu vyote kwenye vyuo shule nilizosoma. Je...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
hi
hellow how z tha day?
0 Reactions
2 Replies
803 Views
Katika kuongea na wadogo zangu kilimu nimepata kusikia mhitimu mmoja wa Kidato cha Sita akiilalamikia TCU kwa kumpeleka chuo na programu asiyopendekeza. Amedai ya kwamba amechaguliwa UDSM kusoma...
0 Reactions
1 Replies
958 Views
wana jf,mpaka sasa tbora kuna vyuo vikuu viwili ambavyo ni SAUT TABORA kilichoanzishwa 2010 na teofilo kisanji 2012.sasa je kwanini mkoa mkongwe kama huu haukupewa kipaumbele wakati wasaomi wengi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau, NINGEPENDA TUWAKUMBUKE viongozi wa dunia waliowahi kutamba enzi zao, ubabe wao na ukatili wao usio wa lazima katika jamii zao, wanaharakati wa masuala mbalimbali ya kimaendeleo, katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Alfa Morogoro, Jesca Kiliani (17) akifanya mtihani wa taifa wa kidato hicho akiwa wadi namba 7B katika hospitali ya rufaa ya mkoa huo...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
1] chlorine is an oxiding agent explain. What is meant by this statement. Describe the oxiding action of chlorine with the following: a] iron b]chloride c]hydrogen sulphide d] sulphur dioxide
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadua naombeni msaada,kwani laptop yangu button tatu zimegoma kabisa kufanya kazi.Nimesafisha kwa sprit baada ya kufungua lakini bado tatizo liko palepale..Pls,naombeni msaada,huenda kukawa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TUMEGUSWA mno na habari zilizotoka katika vyombo vingi vya habari juzi kwamba, hatimaye Serikali imekiri kuwa, udanganyifu unaofanywa na wanafunzi katika mitihani ya kitaifa ni mkubwa na kusema ni...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
jamani naomba mnisaidie wadau wa JF nilimaliza fm4 nikapata pass 2 nikasoma certificate nkaonganisha diploma ya procurement je nataka kusoma na degree nitakubaliwa na cheti cha fm4 kinakuwa akina...
0 Reactions
0 Replies
822 Views
NEW ARRANGEMENTS FOR STUDENTS SELECTED TO JOIN FIRST YEAR STUDIES DURING ACADEMIC YEAR 2012/2013 The University of Dodoma will commence its First Semester for 2012/13 academic year on...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sorr ndugu kwa kuwasumbua,mm nmechaguliwa jokuco-bukoba na home n tanga.Nataka kuhama cz swez kumudu gharama&mwanzon ckujua km chuo 2naruhusiwa kuhama...wanajukwaa nsaidien mawazo km naweza kuhama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kumekuwa na tabia ya wanasiasa walioko kwenye nafasi zao kama mawaziri kufanya mabadiliko yasioyokuwa na kichwa wala miguu kwenye tasnia muhimu kama elimu bila kuwashirikisha wadau au kujali...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
nilipata kuona uzi humu ndani unatanabaisha kuhusu ukataji rufaa kwa waliokosa mkopo. Hivi ni kweli hili jambo lipo???na taratibu zake zinakuaje?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mwalimu mkuu wa shule ya secondary inayo itwa seek Mkoani shinyanga wilayani kahama ashutumiwa kuwa beba kinyamera wanafunzi wa patao 100 tangu wakiwa 4m1 mpaka 4m4 bila ya kuwa na usajili unao...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba maelezo kwa wale wa udsm je wale waliokuwa washafika walochukua education kwa art subject je wamepata % 50 kama bodi walivyosema au wameongeza % ?
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Nikiwa km mmojapo wa wahanga wa kukosa mkopo,natoa rai kwa mamia ya wenzangu kuwa,kwanza 2ukubal ukwel il kuipa akil mwanya kufkiria mbadala wa kufanya!,mwsho mwombe Mwenyez kwa dhat akujalie...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Back
Top Bottom