Kwa yoyote aliye chaguliwa chuo cha kndi Dar ita naomba tutafutane mimi ninashida ya hostel sijui zinatosha au nianze mchakato wa kusearch room Mikocheni B.Tafadhari mwenye kujua au anayepiga pale...
New LSE PhD Studentships support the brightest and the best research students
The London School of Economics and Political Science (LSE) has launched a new flagship studentship scheme that will...
Naomba wana JF mnifahamishe juu ya hili: Kwa Watanzania wanaomiliki vyombo vya usafiri kama magari, wengi wao na kama si wote wamelamika kilipia bima magari hayo ambayo kwa hesabu ya kawaida...
Waungwana hebu nifumbueni kwa hili;
nimeckia tetec ya kwamba kwa wale waloomba course wizara ya afya mwezi april kama vyeti vyako havikupigwa muhuri na mwanasheria wa serikali hauwezi kuchaguliwa...
kesho form 4 wanaanza mitihani ya mwisho,najua mtaani sahz pepa zmemwagwa mbya wakidai ndo yenyewe ya ngalichako,mwenye nazo hzo posible atupia hapa Jf tuone kama ni zakweli
Kwa mwenye kuelewa, nimeona HESLB wametoa nafasi ya kufanya appeal. from my reading it seems waliopata privilege ya ku-appeal ni wale ambao hawaridhiki na kiasi walichopata. IS THIS TRUE? Je wale...
Wanabodi mwenye taarifa kamili kuhusu boom udsm,maana chuo kimefungua lakini account hazijacheu,je tatizo ni nini? Maana hamna taarifa yoyote,je tutaishije maana hizo ndo pesa za kula. Naombeni...
Dah!leo nimefurahi kuweza kujiunga na great thinkers katika forum hii lakini kimtizamo wangu watu wangekuwa wanafanya posting ya vitu vya maana na si matusi?
Nashindwa kuelewa, nina dogo amepata mkopo wa elimu 100% lakini anani ambia wenzake walio tangulia chuoni wanamwambioa anahitajika kwenda na 276,000/= kwa ajili ya malipo ya direct cost!!!!!
Kama...
Taarifa ya habari ya TBC1 imeonyesha wanafunzi 36 wameshindwa kufanya mtihahani wa Taifa unaondelea wa kidato cha nne, kisa eti hawakufaulu mtihani wa std 7 four years ago. Kisa eti hawakupata...
lengo ni kuweza kujuana mapema ili tuchukue hatua kama kutafuta hostel,tukifaamiana mapema na tukiwa pamoja hostel itatusaidia sana kimasoma,kama interested na ni mwana BAF nitext kwa namba hii...
Ukiachilia mbali mlima kilimanjaro ambao umeingizwa ktk maajabu yanayopatikana Tanzania, serikali ingeingiza na hili la wanafunzi zaidi ya 5000 waliomaliza std 7 na wamechaguliwa kujiunga na...
Nasomea BA in Kiswahili, niko mwaka wa pili hapa Chuo Kikuu Dar es salaam. Karibuni nimejiwa na wazo la kubadili uelekeo wangu kikazi, nataka kuwa mwandishi wa habari, hasa habari za michezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.