Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Nimesikitishwa sana na tabia ya viongozi wa Idara ya elimu idara ya sekondari ya kupunguza baadhi ya wasimamizi wa mitihani kwa kisingizio cha mitihani kupungua.Halmashauri nyingine hakuna mambo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Maajabu yatokea katika foleni ya kupata magodoro kwa mwaka wa kwanza, Dada mmoja azimia katika foleni cha kushangaza baada ya kuambiwa achukue godoro ili akapumzike akapata fahamu" daah ni shida...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
et kuapeal kuusu mkopo n kwa wote ata wale waliokosa ama n kwa waliopata peke yake jaman
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa wale continuous waliokosa mkopo ambao waliomba upya kwa mara nyingine tunatakiwa tuwe na subira majibu yetu yatakuja,hata mimi ni muathirika wa hilo ishu iko hivi,mimi nasoma mlimani ila...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani habari za kazi wakuu, Mi naomba mnisaidie namna ya kupata scholarships za Bachelor Degrees. Nataka kusoma kimoja kati ya hivi: Information Technology, Computer Science, na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hello wana jf,naomba kujuzwa kt ya form6 na foundation course hip ina mata ktk kuapply for universities.nimewasilisha.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mara nyingi watu hujisahau sana na kujikuta pasi imeunguza nguo na hivyo kubaki na mabaka meusi ambayo kama ukinyoosha nguo ambayo ni nyeupe, kuna uwezekano nguo kuchafuliwa... Basi mimi binafsi...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
naomba mniambie kwa hawa wa first year izi direct cost tunazolipa,,hata kama una card ya bima lazima ulipe tena medical capitation fee,,,,na udoso tunalipaje,,naomba msaada naelekea bank...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Matokeo ya vyuo vya afya yanatoka lini sababu nishachoka kusubiri...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ishu n vp wana mipango, aisee naombeni msaada wenu coz mi nko mbey af nimechaguliwa pale, bt joining nimeona iko page 1 tu vp ndo ivo au af hamna sehem ya kujaza wala sijaona medcal exam form n...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau samahanini na nadhani hamjambo.. Ninaomba kama kuna mtu aliwahi kufanya research/thesis inayohusu 'implication of education to youth's political engagement' au pia kama ana idea na haya...
0 Reactions
5 Replies
991 Views
Lilikuwa ni tukio la kusikitisha na lenye kutia shaka kwani mkutano ulianza vizuri na ulionekana kama vile wenye lengo la kuwafunua wanafunzi wa mwaka wa kwanza kuhusu mambo ya kcmc.raisi wa chuo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mimi bado nasaka ada,je mambo yakoje kwa mliokwisharipoti?masomo yamekwishaanza?first year,na je kuna mwisho wa registration?
0 Reactions
0 Replies
855 Views
jamani anayejua taratibu za chuo hiki,,, kufanya registration kwa First yr walisema mwisho tar 5/10. Kuna mtu amechaguliwa apo bachelor na hajariport had saiv, ameplan kufanya next friday tar...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wale waliomaliza masomo yao UDOM kwa mwaka wa masomo 2011/2012 Chuo kimetangaza tarehe ya mahafali kuwa ni tarehe 21 na 22 ya mwezi wa Nonember mwaka huu. Kila la heri. Aidha, kwa wale...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ni kesho maeneo ya mhasib house, vipanga wa mahesab ya biashara wanakabidhiwa majembe yao katika ngaz mbalimbal gumzo kubwa likiwa ni wale waliofaulu mtihan mgumu wa hesab katika final stage.My...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
habari zenu naomba mnisaidie je hivi ili upate mkopo katika chuo ni lazima ufungue account katika bank fulani? au je mikopo ya wanafunzi inawahi kuingia katika bank gani maana nimesikia watu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mambo yanavyoenda kwa hivi sasa tuko katika auto- pilot. Kila mtu anajaribu kuvuna karibu anavyoweza katika eneo lake. Madini, Mali Asili, Viwanda, Afya basi alimradi kila mtu anakula anavyoweza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale wanaofuatilia masuala ya kielimu tunakumbuka wazi kuwa serikali ilijitapa kuongeza mikopo kwa idadi kubwa ya wanafunzi wa vyuo vikuu. kinyume na ukweli huo karibu 85% ya wanafunzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wale wa IFM mwisho wa usajili ni lini maana wengine ada yasumbua kiaina no matuc plz kama huez nisaidia #mi mtoto wa mkulima na sina mkopo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom