Kuna hili la BAF VS BBA kwamba st johs wanafunzi wote wa busness wanasoma BBA mwaka wa kwanza na wapili semister ya kwanza then semister ya pili ndo wale wa BAF wanaanza kusomea BAF yao ndo kila...
Naomba msaada wa simple Research Proposal title hata kama mtu anayo na research kamili yake sio mbaya nipate muongozo ...BA Education
NB:I hate Copy and Paste
hebu tuweekane sawa kwa hili vyuo vyetu kenye top 100 in africa ni vichache sana na vikiwemo ni kimoja au viwili kwa miaka hii mitatu iliyopita kwa nini?
Kama ilivyo ada, maombi ya chuo hufanya kupitia TCU. Umeomba kozi zako vizuri umeomba na mkopo pia loan board.
Mfano umeomba MD(udaktari) let say muhimbili ukapata na mkopo pia ukapata jina lako...
Habari ndugu zangu mnao kuja SUA. Milango ipo wazi usajii umeanza. muhimu njoo na ada ya semester1 na michango mingine kama ilivyo kwenye web yao. kama una mkopo jua kiasi flani umesha lipiwa...
Habarini wadau,ningependa kupewa taarifa kuhusu kujiunga na Bima ya Afya je ni inatakiwa kujiunga kabla hujaenda chuo ama ukifika chuo ndio kuna utaratibu wa kujiunga huko?Maana kwenye website ya...
Paul Joseph Watson
Infowars.com
Students and parents at two San Antonio schools are in revolt over a program that forces kids to wear RFID tracking name tags which are used to pinpoint their...
Julius Kambarage Nyerere Quotes
A Selection of Quotes by Julius Kambarage Nyerere
"You don't have to be a Communist to see that China has a lot to teach us in development. The fact that they have...
Vuta-Nikuvute,
Tunaomba updates za kile kilichojadiliwa UDSM kati ya Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Mukandala na Wafanyakazi wa UDSM kuhusu utata wa mishahara yao. Nakumbuka ulitufahamisha kwamba leo...
wale wote mliochaguliwa mu wameishatoa allocation for accomodations xo angalieni mapema kama jina halipo jipange kulipa off campus maana ni gharama....na pia wametoa unatakiwa kulipa kiac gan kama...
tetezi za chini ya kapet zinasema kutokana na ajira kuwa kikwazo na kuendelea kuongezeka kwa wahitimu wa elimu ya juu mitaani na taluma zao na kutaka jiajiri ila hawana mitaji pia kila siku...
Ndio kwa mara ya kwanza naenda kuanza masomo ya chuo, ukweli kwanza nahitaji msaada mkubwa kutoka kwa yeyote ambaye ana uzoefu na maisha ya chuo ili niweze kutimiza malengo yangu nilio jiwekea...
..........Katika wiki ya Kwanza hapa Chuo kikuu Cha Dar Es Salaam kama wanavyoita kwa lugha ya Kiingereza "ORIENTATION WEEK" Wakufunzi mbalimbali walipewa muda wa kutoa nasaha mbalimbali kwa...
Wakuu ni roles zipi anakuwa nazo mhasibu mwenye ngazi ya diploma iwapo ameajiriwa ktk kanisa?Example books ambazo atatakiwa kumaintain au accounting software used..Naomba kuwasilisha..!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.