Mimi nimechaguliwa duce BSc with education lakini nilitumia equivalent nimefika hapa nimeambiwa nichague kozi za arts nami nimeridhia nimeandika barua kuomba kupangiwa BAED(GEOG&PS) Vipi hii...
wadau naomba kuuliza hii kitu post graduate ni kiwango gani cha elimu, unaingia ukitoka diploma au master au degree?
Kawaida unasoma kwa miaka mingap na ukitoka apo unaendelea na kiwango gani cha...
Chuo Kikuu cha Mt.Augustine (SAUT) tawi la Bukoba kimebadilishwa jina kutoka SAUT - Bukoba na kuwa KADRINALI RUGAMBWA UNIVERSITY COLLEGE OF SAUT. Uamuzi huo umefanywa na Baraza la Maaskofu...
Wakuu,
Katika kuhakikisha kuwa tunaienzi Lugha yetu ya Kiswahili na kuieneza dunia nzima, nashauri tuanzishe kama taifa televisheni maalum ya Kiswahili kwa ajili ya kutimiza ndoto hiyo...
ni mara nyingine tena wdogo zetu wanakaa kwa ajili ya mtihani wao wa kidato cha nne changamoto ikiwa ni je matokeo ya kipindi hiki yatakuwaje je yataendelea kuwa kama yalivyokuwa mwaka jana...
kuna wakati nilikuwa stendi ya Arusha na kuna wajaririamali walikuwa wanauza cd za hotuba mbalimbali na matukio ya viongozi walioheshimika sana Africa Kama mwl NYERERE na kujinyakulia CD 2...
Ndo juzi tumefungua na ni kua kila mtu katoka kwao hamjuani mana nimda mfupi sana na mfano ni hawa first year tayari ni bond na pairs::::hatukatai mapenzi......Ila kwa mda mfupi na tujadili pia...
waraka wa elimu no 5 wa 2012 uliosambazwa hivi karibuni unaonesha kuwa form 4 watafanya pepa wiki ya pili ya november na fom 6 wiki ya kwanza mei na fom 5 itaanza wki ya kwanza julai. Ishu hapa ni...
The executive committee of the Tanzania Food and Nutrition Students Association(TAFONUSA) hosted at Sokoine University of Agriculture under the department of FOOD SCIENCE AND TECHNOLOGY, is...
Wiki mbili zilizopita dean of students alituambia boom litaingia tukaona kimya,wiki iliyoisha yaani tar 8 hadi 13,wakaitisha kikao jumatatu jion wakatuambia pesa zimeingia na wanahitaji namba za...
Ndug wanajukwaa naomba kujua kama kuna mtuambaye ameshafanikiwa kuappeal HESLB kwa sababu nimejitahidi sana kuappeal kwa kufuata maelekezo waliyotoa katika blog yao.Kama kuna mtu ambaye...
Zimebakia siku chache for the first tym vijana wapya kwenda kushuhudia na kupata elimu ya chuo kikuu,vijana wanahamu sana ya kufika dodoma university kwakuanza safari nyingine ya makamuzi lengo...
Naiomba wizara ya elimu na watanzania wenye uchungu na nchi yetu kuingilia kati mpango wa EZEB(bod ya mitiani ya kanda ya mashariki) wa kporomosha na kudumaza elimu. Bodi hi imeshindwa kutimiza...
Hi wanajamvi. Nimepata taarifa jana zilizonickitish kweli na kuamua ku2pia kwa wana jamvi ili 2jadili elimu yetu inaelekea wapi. Nipo kijiji kimoja mkoani mtwara kwa ajiri ya kuwaletea maji wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.