Nimepata habari ya kwamba kuna michepuo mipya kama tano imeongezwa, mtoa habari amekumbuka mbili nazo ni; PGE (Physics, Geograpraphy na Economics), CBM (Chemistry, Biology na Math.).....
Miongoni...
mimi ni msichana,nimegraduate mwaka huu pale DUCE,ila nahitaji kusoma masters,ushauri wa facult ndo nau hitaji, kuna hizi kozi 3 zipo kwa kichwa changu,MBA(human resource management),public...
Kikwete huyo.,,, ".........They also signed an MoU (Memorandum of Understanding) for co-operation in the field of higher education. The MoU is related to exchange of visits of academic and...
Waziri Mkuu Mstaafu EL akiwasili Mwanga Kilimanjaro kwa ajili ya kuendesha harambee ya kukusanya michango kwa ajili ya shule ya Kiislam, EL alitoa milioni 10 kama mchango wake, Waziri Maghembe...
Dada yangu amemaliza masomo yake ya udaktari wa binadamu mwezi huu,nchi moja ya Ulaya.Kuna nchi nyingine amepata nafasi ya kufanya internship lakini mwenyewe amesema,anapenda zaidi kuja kufanya...
Napenda sana kufundisha.nina degree yangu ya theology in mission from
Covenant University ya Florida USA,je naweza kuomba kazi serikalini? na kama ndiyo nifanyeje? kwa sasa niko arusha.asanteni
Mie ni mkazi wa hapa Dar es Salaam. Nimepata nafasi ya kusoma "MSc in Development Policy and Practice for Civil Society" Chuo Kikuu cha Mzumbe tawi la Dar es Salaam. Masomo yanaanza mwezi ujao wa...
Salamu kwa wana JF wote!!!
Mimi napendekeza aina ya elimu itakayotufaa watanzania kwa wakati huu na kwa miaka mingi ya baadae.
1.Iwe ni ya lazima kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne...
Nimesikia tetesi kwamba majina ya 2nd year walokosa mkopo mwaka jana then wakaomba tena yametoka hapo mjengoni kwenu, je kuna ukweli ndani yake? Nawasilisha
Cha kushangaza ni kua boom limeletwa chuoni...Hatujasaini mpaka leo.....Sisi ni mafukara ndo mana tunategemea bodi,,...Tabia ya hapa mpaka fujo ndo mgomo..::inakera sana.....Mana ikitokea migomo...
Ebu jiulize elimu ni ufunguo wa maisha ila kazi ya ufunguo una funga na kufungua na pia elimu ikiwa mbaya inazalisha vichaa inchini hebu jiulize mimi na wewe kweli elimu inayo tolewa tz...
Ebu jiulize elimu ni ufunguo wa maisha ila kazi ya ufunguo una funga na kufungua na pia elimu ikiwa mbaya inazalisha vichaa inchini hebu jiulize mimi na wewe kweli elimu inayo tolewa tz...
nimeapply hesslb mpesa wakatuma hii sms k61ud233 imethibitishwa tshs 5000 imetumwa kwa heslb kwenye akaunt number 234561234 sasa je ipi kati ya hizo namba ni transaction id
Habari zenu wana JF
Jamani naomba mwenye taarifa zozote kuhusu selection za vyuo vya afya vilivyo chini ya wizara ya afya kama zimetoka, kwani nimetembelea mara nyingi website yao lakini mpaka...
mbona na jaribu kuappeal lakini nashindwa inaniandika nimeshakuwa already registerd mwenye uwelewa katika hili msaada jamani anipe procedure za kulipia mpaka kumaliza wapi pakuanza na wapi...
Jamaa nimewakubali,wametumia muda mchache kupanga majina na mikopo kwa wanaokizi vigezo ukilinganisha na heslb,Vile vile kumbe kuna kariba kadogo tu,kwa mliokosa heslb changamkeni muda bado.:lol:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.