Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

KWA NINI TUTAPELIWE NA WATU WA MUNGU ?/ WHY SHOULD WE BE FOOLED BY CHURCH LEADERS? -What is / Nini maana ya COMPULINK AFRICA? , COMPULINK KENYA? , COMPULINK UGANDA? , COMPULINK TANZANIA? Hello...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Najiuliza hivi ni kwanini TZ tumeng'ang'ania kuingiza Mlima Kilimanjaro kwenye maajabu 7 ya dunia wakati tuna maajabu mengi tu zaidi ya huo mlima? Mfano mdogo unajua kuwa TZ ni nchi ya kwanza...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wazira ya afya imeamua nini? Sababu walisema 15 oktoba imepita...waongeze tena tarehe.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salam wadau nilitaka kuuliza kama kuna chuocha elimu ya juu chochote humu (zaidi ya 50 kwa sasa 2012) nchini Tz chenye hadhi ya kuitwa CHUO KIKUU? maana nimezungukia MLIMANI, ARDHI, MUHIMBILI...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Baraza la mitihani la tanzania (necta) limeweka utaratibu wa kutoa mtihani wa kufanya mchujo kwa darasa la nne kila mwaka. cha ajabu ni kwamba baraza hilo linatoa copy mojamoja kila wilaya ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Duu yaani kama hujafika hadi sasa hivi wewe kausha hadi kesho kuna bonge la foleni kwenye registration process kibao duu ni sooooo
0 Reactions
1 Replies
774 Views
Mkuu wangu wa chuo,mdhalimu,mwenye wivu,mabaguzi,Extravagant etc mbona hasikiki tena?.Ndugu zangu watanzania katika historia ya maisha yangu sijawahi kumwona mtu mwenye roho mbaya [na nadhani watu...
0 Reactions
2 Replies
960 Views
Karibuni all 1Year Bichimatunda or ostabei ya sua aka Tabora fulu entertainment,tours za kumwaga,watu wa mbele kibao and many others enjoyable thing njoo jionee mwenyewe wanakoishi maseneta na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KAIMU Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Bw. Selestine Gesimba, ameushukuru Ubalozi wa China nchini kwa kutoa msaada wa vifaa vya maktaba ambavyo vitawasaidia wananchi kuongeza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wewe hakuna chuo bora....Ila kuna wanafunzi bora ambao wanaweza kutatua matatizo ya nchi.....Una nini kichwani,unatoa service gani,Vyuo ni kama daladala bora ufike...Chuo bora ni unani kichwani
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Baada ya web ya mikopo kuto funguka now inafunguka na kunamabadiliko kama majina hayaonekani bali una search jina au unaandika index no then unasearch fasta utaona umepata au laa......c hivyo tu...
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Ninafuatilia kongamano la mwl nyere: Jukumu la vijana katika kumuenzi mwl Nyerere na nimefurahiswa na mchangiaji mmoja ( bwakisa) ambae amewapa live maprofesa na madocta wa tz kuwa hawaandiki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo ni tarehe ambayo wizara ya afya walipanga kuanza muhula kwa kozi za Certificate na Diploma kwa mujibu wa form zao za application. cha kushangaza mpaka sasa hata hizo selection zenyewe...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
naomben ushauri je nikipostpond na mkopo ukija itakuwaje mwakan itanilazim niombe upya au ntalikuta chuon mwakan?
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Tumeshasubmit missing particular kwa loan bordy tusubiri hadi lini loan bord watujibu maana hatujaweza hata kureport chuoni.tujuzeni mapema tujue lakufanya kama nikupostpon au vp.matumbo yetu...
0 Reactions
0 Replies
881 Views
Jamani wale tuliochaguliwa BHRM na tumekosa hostel za ndani Mzumbe tuwasiliane tujue nn cha kufanya mapema maana hostel za nje ni gharama balaa nicheck kwenye no.0786302961
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Haki ya Mungu kama HESLB hamtakuwa wazi na kusema kama kuna kitu kinachoitwa SECOND BATCH, mtasababisha mauaji mitaani. nina imani na hakika kwamba huyu mnayemwita TAPELI ametumia mwanya wa SECOND...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
kuna jamaa mmoja hapa mjini anaitwa deus torani huyu jamaa amekua akichukua fedha za wanafunzi wanaotarajia kwenda chuo hasa kwa wale waliokosa mkopo kuwa atawafanyia mpango majina yao yatoke...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
kikiendelea kudhihirisha kuwa ni chuo kikongwe na chenye ubunifu wa hali ya juu, UDSM wametoa orodha ya FIRST YEAR LOAN ALLOCATIONS FOR 2012/2013 ACADEMIC YEAR - BATCH NUMBER 1 kwa ajili ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Jaman wana mazimbu wa mwaka wa kwanza tufahamiane' m nko unit2 room22 karbun!
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom