Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wadau naomba kuuliza hakuna ambaye ameshachaguliwa kwenye chuo chochote wale mlioomba vyuo kwa dirisha la Kwanza la TCU? Lini yatatolewa???
3 Reactions
116 Replies
10K Views
Jaman et uki apply diploma first selection ujawa selected ukienda pale NACTE kwenye tovuti yao upande wa afya wanasema congratulations unechaguliwa chuo fulan Mimi kama sijaridhika naweza ku...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wakuu, nimepita mtandaoni nikakutana na hiki chuo kinachoitwa "EAST AFRICA STATISTIC TRAINING CENTER" Chuo hiki kipo DSM miongoni mwa kozi nilizoziona ni OFFICIAL STATISTICS pamoja na DATA...
1 Reactions
1 Replies
657 Views
Kuna kitu nashindwaga kukielewa nimehitimu VETA Udereva, Nina leseni , cheti cha form iv lakini nakutana na hiki kitu kwenye matangazo ya ajira GRADE TEST, GRADE I& II& III hii ikoje? Ni kozi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Msaada msaada msaada! Namsaidis kuapply chuo UDOM , Nimejikuta na submit kabla ya kurekebisha Nimeruka kipengele cha ku-attach docs... Application isha submitted. Ntafanyaje
0 Reactions
5 Replies
475 Views
Hellow kwenye hizi selection za Diploma mdogo wangu kachaguliwa Dar es Salaam Police Academy Medical lab. Hiki chuo kiko wapi kwa Dar? Mwenye kukifahamu vipi mazingira yake yanafana?
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Muhas Second round slots
0 Reactions
2 Replies
695 Views
》We sleep inside while others sleep outsides this is cruel thingvwe do everyday. We forget most of us 18+ we are homeless just because of our parents or relatives can help us. And we all we don’t...
0 Reactions
2 Replies
464 Views
Kwanza hongereni kwa kufaulu Mitihani yenu ya Kidato cha Sita. Kwa wale mliofeli poleni , ndio maisha hayo. Nije kwenye mada, Nawashauri tena Mapema kabisa, hii kozi inayoitwa Bachelor of...
19 Reactions
69 Replies
8K Views
Cheti changu cha form four sijawahi kukichukua, hivi nikitaka sasa hivi ntakipataje?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Je, mwanasheria wetu Bongo wana jua vizuri hesabu au ndio kula lala faulu background, kuachana na wazamani kama akina Issa Shivji? Making of a senior counsel: Prof Tom Ojienda You are one of the...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimejikuta nakumbuka enzi hizo nikiwa 825 MTABILA, mujibu wa sheria OP KIKWETE (2015) hiyo. Nilikua kombania B (Bravo Coy) chini ya Luteni Lusui (naskia kwa sasa ni Captain), alikua mtu mmoja...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Habari wakuu, Ningependa kufahamu kiundani kuhusu hii kozi ya Master of science in Health Informatics inayotolewa na UDSM. Kwa aliyemaliza kozi ya afya anaweza kumudu kozi hii inayohusisha...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Naomba msaada kwa yeyote mwenye details za CHUO hiki na jins gan naweza pata joining instruction au NAMBA ZA YEYOTE ANAE SOMA PALE
2 Reactions
7 Replies
8K Views
Wanajamvi tumeshuhudia wasomi wengi wanaomaliza vyuo tofauti wakianza harakati za kutafuta ajira huku wengine wakijiajiri wenyewe kutokana na sababu tofauti ikiwemo kutaka manufaa makubwa ama...
0 Reactions
0 Replies
347 Views
Naombeni kuuliza kati ya kozi nilizotaja hapo juu ipi Iko fresh Zaid..ukizingatia na mwelekeo wa maisha sa hvi na ubora wa vyuo
0 Reactions
6 Replies
985 Views
Habari wakubwa kwa wadogo. Nina mdogo wangu kamaliza form four mwaka 2021 na alipata division two ya point 18 nikataka aende kusoma course ya afya (clinical medicine) (CO) Ila selection zimetoka...
0 Reactions
1 Replies
916 Views
Tuambie Chuo ulichosoma huenda ukakutana na classmate wako ambaye ukutarajia kukutana naye. Mkabadilishana number na kupeana michongo ya maisha. Hii itakuwa njia moja ya kukutana na classmate...
1 Reactions
133 Replies
8K Views
Sijabahatikaga kusoma mpaka elimu za juu ila nimekuwa najifunza kwa waliosoma. Kwa miaka kadhaa nilikuwa naona majamaa na marafiki wakijiunga kusoma elimu za masters zile za baada ya muda wa...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, naombeni mwenye notes nzuri za computer skills& information za mwaka wa kwanza za diploma in medical lab pamoja na mitihani mbalimbali ya masomo yote either 1St, 2nd or 3rd...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom