Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu naombeni msaada wenu mwenyewe kujua chuo cha uvuvi Nyegezi Mwanza anasaidie.
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Mufumo tulionao hauendani na maisha ya watanzania badara yakufanya marekebisho hapa munakimbilia lugha yakiswahili. Madaraka ya kuanzia la Kwanza mpaka kidato cha Sita si lazima! Tunakiwa...
0 Reactions
2 Replies
390 Views
Mwanafunzi aliyelisti hutumia namba gani ya mtihani wa kidato cha nne kuomba mkopo
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Napata changamoto kwenye icho kipengele cha mwisho(kwenye picha) .... Ukizingatia field zote zimejazwa pamoja na attachments, lakini uki save inapop up iyo notification Msaada...
0 Reactions
1 Replies
735 Views
Wadau na huzuni mwenzenu sijui nifanyeje mm ndo huyo Number psrs/22/4614/298 nmepata 55 Number 34 apo dah nmeumia wadau [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
0 Reactions
1 Replies
556 Views
Habari mimi ni kijana Umri miaka 24 natafuta nafasi ya kazi ya ualimu wa Shule ya msingi, niko mkoa wa katavi wilaya Mpanda mjini. Mawasiliano 0621364039 sms pekee au whatsapp namba 0687305692...
0 Reactions
1 Replies
818 Views
Wadau wa elimu nchini. Ipo haja mitihani hii isimamiwe na NECTA ILI kuiongezea TIJA na mkazo mashuleni KULIKO ulivyo Sasa. Napendekeza yafuatayo kufanyika. 1. RATIBA Ratiba ya ufanyikaji wake...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana JF naomba msaada wa mawazo yenu. Nina mdogo wangu amehitimu kidato cha sita mwaka huu na kwa sasa yupo jeshini kwa mujibu wa sheria. Kabla hajaondoka alisisitiza sana nimsaidie kuomba chuo...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Samahan Kama MTU ka disco chuo akafanya process zote za kujitoa kwa mfumo wa kutambulika kama mwanachuo ili aje aombe Tena maombi ya vyuo. Kwa mfano alipewa mkopo anaambiwa arejeshe 25% je Kama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari Natafuta fursa ya kuongeza ujuzi wa lugha ya alama. Nipo Dar es Salaam 0746709578
0 Reactions
1 Replies
414 Views
Habari wana jukwaa nahitaji msaada kwa yeyote anayejua chuo cha private cha afya chenye ada nafuu Dar au Morogoro msaada tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu yangu ameniambia kachaguliwa hii kozi je faida na hasara ni zipi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakufunzi "leacture" awana uzoefu wa kazi alafu wafundishe watu kazi. "proffesion" Huku ni kufanya elimu kukosa uhalisia na wanafunzi kusoma vitu vingi ambavyo ni useles sna vya muhimu wanaacha...
0 Reactions
10 Replies
864 Views
Naomba Kufahamu pale Veta Chang'ombe Kozi ya Muda mfupi ya Ufundi Magari wanachukua muda gani na Kiasi cha Ada ni bei gani?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari! Naomba kufahamu kozi tajwa hapo juu ni ualimu au ni kitu gani haswa? Anaweza kufundisha Kiswahil au English kama walimu wengine au haihusiani kabisa na ualimu wa shule? Kuna ndugu(HKL...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Huu ndio mwongozo wa degree programmes za engineering zitolewazo hapa kwetu!! 1) Civil engineering Kwa hapa nyumbani (tanzania) hii kiasi flani ina upana sana katika kujiajiri na kuajiriwa...
21 Reactions
104 Replies
32K Views
Hello wakuu Naomba Msaada shule nzuri ya MSINGI ya masister ya bweni iliyopo Dar Ukitaja vitu vifuatavyo utabarikiwa.. 1jina la shule 2mahali ilipo na vingine vya MSINGI. ASANTENI.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Why census is seems to be a research?
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimesoma sheria, baada ya kumaliza nikarudi kijijini lakini sasa nikaona nachelewa kwenda shule ya sheria ya vitendo (law school), nimeamua kuja dar es salaam, nimefikia kwa rafiki yangu niliesoma...
0 Reactions
5 Replies
468 Views
Students selected to Muhas first round
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom