Awali ya yote napenda kumshukuru muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo ndani yake.
Ni matumaini yangu hamjambo na wote ni wazima wa afya. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 elimu yangu...
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kujua ni sehemu gani naweza kupata review classes za CPA pamoja na kituo cha mitihani maeneo ya bukoba.
Thanks in advance.
~ Ulysses by James Joyce.
~ Beyond Good and Evil by Friedrich Nietzsche.
~ Brother Karamazov by Dostoevsky.
~ Crime and Punishment by Dostoevsky.
~ One hindered years of solitude by Gabriel...
Wadau,
Nimeomba nafasi ya kusoma katika chuo cha ku-operate mitambo mikubwa pale kijitonyama dsm na nimepata nafasi, mtihani unakuja ktk soko la izo fani baada ya kumaliza kozi yangu ya miezi...
Mimi ni Medical Lab Personel nina Diploma ya taaluma tajwa hapo juu.
Nimekuja mbele ya jukwaa hili nipate japo ushauri na maelezo yakunijenga.
Nilipata wazo la kufungua maabara ya vipimo vya...
Kama kuna fundi au mtu anayefahamu sehemu ninayoweza jifunza ufundi radio, TV, pasi (electronics), tofauti na VETA coz veta hawana evening class msaada please Kilimanjaro
Habari Wana Jamii_Forum,husika na kichwa cha habari hapo juu.
Naomba kwa anayefahamu shule za wasichana za bweni za serikali azitaje pia ata kama ni za Co (Wavulana+wasichana) zitaje hapa chini...
Amemaliza kidato cha 4.
Akachaguliwa kozi ya ualimu ngazi ya cheti.
Alisoma arts ana ufaulu wa division 3.
Ameshindwa kuendelea na diploma ya education kwa sababu utaratibu hauruhusu.
Anataka...
Habarini wakuu, poleni na majukumu mbalimbali yanayowakabili.
Samahanini nimeandika Uzi huu kuomba ushauri nahitaji kwenda kuongeza elimu ya vitendo kidogo katika vyuo vya VETA infact kwa sasa...
hebu 2kumbushane mambo\habari za kipindi kile unasoma kati ya shule hizi.mimi kitu nakumbuka ni bifu\ kati ya shule hizi iv bado lipo? hv asili yake ni nini??
mimi nipesoma lyamungo!
Lyamungo secondary ni shule maalum?
Na inachukuwa mwanafunzi mwisho division ngapi?
Na kwa kombi za sayansi mwanafunzi anatakiwa awe na pointi ngapi kwenye kombi?
Habari wana jukwaaa.
Kijana wangu amepoteza cheti chake cha elimu ya kidato cha nne, kwa mwenye uzoefu na hili jambo hatua za kufanya ni zipi?
Je, ataweza kupatiwa kingine?
Wandugu niko na mdog angu.pindi anaaply aliomba kuchukua clinical assistant2, now kaendelea na ordinary diploma lkn chuo husika wamegoma kumpa cheti chake ch level 5, ikiwa akuendelea masomo yake...
Samahan kwa wenye ujuzi nafanyaje make nilirudia kuomba second selection chuo cha mzumbe Sasa leo metumiwa sms kuwa niingie kwenye account Kuna information za kuwork on sa nilivoingia sijaelewa...
Mimi naomba niseme kwa sauti kubwa na bila kumungunya maneno kwamba KWENYE KATA HAKUNA SHULE pale. Huwezi kuongelea SHULE mahali ambapo hakuna SHULE! Unajua shule ni nini? Shule inajumuisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.