Habari wadau!
Ningependa kufahamu kama kufanya hizo course/masomo yaliyo nje ya program husika yatatokea kwenye Transcript?
Mfano Bsc Economics nikaongeza soma kama information System
Habari zenu wana jamvi natumaini ya kuwa mko wazima kabisa.
Nahitaji kujua mahitaji muhimu katika kuanzisha na kuendesha Open school
Na ni programme zipi hasa zinaruhusiwa kuendesha katika vituo...
JE WAJUA?
Je wajua product za udom hukubalika maofisini* field na kazini?
JE WAJUA, UDOM pekee ndo chuo kinachodahili koz nyingi zaidi mwaka huu, kinadahili Coz 80...
Pia Ni chuo kikubwa Afrika...
Kumekuwa na malalamiko ya waombaji wa vyuo ambao waliomba na Chuo cha Teofilo Kisanji University (TEKU) kilichopo huko mbeya, kwamba chuo hicho kinafanya confirmation ya selection kwa chuo chao...
Habari wakuu
Kila mwaka serikali inatenga bajeti maalum kwa ajili ya wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu kupitia taasisi yao(HESLB) ambapo kila mwaka wanafunzi si chini ya 150,000 wanakuwa...
Habari za jioni wakuu mabibi na mabwana
Huyu binti namfahamu tangu akiwa mtoto. Anatoka kwenye mazingira magumu kuliko ngumu wenyewe.
Hamjui baba yake mzazi, hajawahi kumsikia wala kumuona...
Habar JF,
Niende direct kwenye mada husika, nilimfanyia application za vyuo mdogo wangu, amepata NIT MECHANICAL ENGINEERING na SUA AGRICULTURAL ENGINEERING
Kwa uelewa wenu na soko la ajira ipo...
Wakuu naomba ufafanuzi kuhusu kozi ya social helth science. Yaan inahusiana na nini,upana wake na uhusiano katika soko la Ajira.
Natanguliza shukran zangu za dhati[emoji120][emoji120]
Guys kuna chuo huku iringa wanatoa short course za hii piaaa kuna hotel management for 6 month lakn wanasema ajira lazima
Me nataka kuuliza wenye uzoefu na haya masuala ili nijue kama naweza...
Ushauri Wa Kuchagua kozi (program) ya kusomea
Napenda Kuwauunganisha Form 6 leavers na Diploma holder Katika Utambuzi Yakinifu wa kozi za kuchagua katika level ya degree
> Aina ya kozi nzuri ya...
Mdogo ang kachaguliwa IFM programme ya IT wakat huo huo aliomba diploma akachaguliwa DPA Dar police academy programu ya MEDICAL LABORATORY nawaza hapa aende waaap aende degree ya IT Au aende tu...
Guys kuna chuo huku iringa wanatoa short course za hii piaaa kuna hotel management for 6 month lakn wanasema ajira lazima.
Me nataka kuuliza wenye uzoefu na haya masuala ili nijue kama naweza...
Wakuu kwema.
Naombeni mnisaidieni kwa anayejua chuo cha STEPHANO MOSHI MEMORIAL UNIVERSITY COLLEGE (SMMUCo) kilichopo moshi anielekeze vizuri ubora wa chuo hicho na reputation yake, mimi nataka...
Bachelor of computer science (mwenge university)
Business information technology (MOCU)
Urban development and management (IRDP)
Environment disaster management (UDOM)
agribusiness management and...
Habari zenu nauliza kwa wenye kujua kufungua shule ya chekechea yaani (Day care&Nursery) unahitaji mtaji kiasi gani naombeni kwa anayejua na mahitaji yenyewe.
N.B kama huwezi kuongea ushauri bila...
Habari wadau wa JF, Hope mnaendelea vyema na majukumu. Bila kuwachosha niende direct kwenye mada kama kichwa cha andiko.
Naomba kujua tofauti Kati ya hizi kozi mbili za bachelor's degree Kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.