Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wana JF, napenda kuuliza ni taasisi au bank gani ambazo zinatoa mkopo wa elimu hasa kwa watumishi, maana mimi nimepangiwa chuo, lakini sijaomba mkopo. Ni mtumishi serikalini, ningepata hiyo...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Maana nikingia kwenye tovuti ya NACTE kuna sehemu imeandikwa applicant choose as:36 afu kwa mbele wameandika capacity 50 Sasa naomba kuuliza Hao 36 ndo idadi ya watu walio apply.. Samahan lakin...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari members! Naombeni muongozo ni masters ipi naweza kusoma undergraduate nimemaliza B.sc in civil engineering. N.B: mimi ni muajiriwa serikalini. Options nilizofikiria 1. Kufanya distance...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
1. Bachelor of accounting with information technology - IFM - DAR ES SALAAM 2. Bachelor of accountancy - T.I.A - MBEYA 3. Bachelor of accounting and finance - CUCOM/SAUT - MBEYA 4. Bachelor...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Poleni na majukumu wanajamvi, nahitaji msaada kwa mwenye ufahamu juu ya hili, mwanafunzi aliyesajiliwa kama diploma taker ktk kozi ya pharmacy akaamua kuishia ngazi ya cheti ni hatua gani anaweza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Nilikua naomba msaada jinsi ya kupata control number ya UDOM na apply , lakn nkifika kwenye "click here to get control number" nacklick lakin haileti. Msaada wa haraka wakuu.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Msaada, Wakati nafanya maombi ya kujiunga na chuo cha UDOM, nimefanikiwa kucreate account na ku log in, shida ni kwamba nime log in nakuta account kwenye dashboard ni empty hakuna sehemu ambapo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zanguni hebu nisaidieni Kivi kuna uhusiano kati ya kuhama kozi au chuo na upataji wa mkopo wa elimu?
0 Reactions
0 Replies
451 Views
Habari zenu wakuu! Kuna dogo alipata division 2 form 4 lkn post zilizotoka leo amepangiwa kujiumga na chuo cha CBE kozi ya Marketing. Dogo hataki kwenda huko chuo, anataka kwenda advance akapige...
3 Reactions
52 Replies
8K Views
Habari, naombeni ushauri juu ya hilo swala maana linaniumiza akili.
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Naombeni kujua sifa za chuo cha Lindi COTC yaani ufaulu wake, na taaluma yake kwa ujumla mazingira yake na changamoto kiujumla ya vyuo vya afya hasa CO
1 Reactions
14 Replies
991 Views
Habari za majukumu ktk ujenzi wa Taifa? Kati ya Bachelor of Sociology Udom, Bachelor of Sociology SAUT Mwanza na Bachelor of Public Administration Mzumbe Campus ya Dar, na Community & Development...
0 Reactions
3 Replies
693 Views
Nimemalza kidato Cha sita mchepuo wa HKL na Nina ufaulu wa div1.9 ila linalo nitatiza ni course ipi nichague na mimi napenda IT ilihali nimesoma Art. Naombeni ushauri ni kipi naweza somea na hata...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni wapi nitapata crash course ya kufanya biashara jamani?
0 Reactions
3 Replies
421 Views
Jamani hi course ajira zake zikoje nataka nikasome chuoni
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Samahani! Nahitaji kusoma masuala ya Biashara lakini sijajua kozi gani ni nzuri nikasome chuo. Ushauri wenu Please [emoji120]
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Mimi ni mwanafunzi ninayesoma Utabibu, je, kuna short course ya Afya ya Ngozi (skin care) au mpaka niwe specialized doctor wa ngozi? Lengo langu kubwa ni kuwa mfanyabiashara mkubwa wa masuala ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa. Ninaombeni mnisaidie maoni yenu kuhusu kozi saivi yenye kusomea kwa kijana wa pcm mwenye 1 point 8. Mie nimemshauri ya kwanza Chemical Engineering Electrical Engineering...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Nipo nafanya maombi yangu ya mkopo wa elimu ya juu. Nimefika sehemu ya mdhamini, napata hiyo shida kwenye picha. Je sababu ni nini.
1 Reactions
15 Replies
972 Views
Back
Top Bottom