kwa wale wanachuo wakazi wa dar es salaam waliobahatika kupata vyumba vyuoni au hostel ninatafuta mtu wa kuniuzia room au kunibeba si mnajua accomodation shida katika vyuo vyote vya dar. niko...
kwa taarifa nilizopata hivi punde ni kwamba Chuo kikuu Dar es Salaam, Kitivo cha sheria kimeshindwa wazamini wanafunzi wawili kwenda Maputo kwenye mashindano ya MOOT Courts. mpashaji habari...
Jaman naomben kujua kuhusu mikopo,
mm niko pale SAUT nachukua certificate ya ITT (INFORMATION TECHNOLOGY TECHNICIAN) je mwakan nikichukua Advanced Diploma naweza kupata mkopo? maana karo na...
Jaman mm nilikua admted agrbusnes sua ila jina lang kweny webst ya chuo halikutoka nimefuatilia nimeambiwa wanipe koz nyngne yoyote na mm spo teyar.nsaidien ndugu
Inachoshangaza ni mitazamo finyu miongoni mwa wanafunzi wengi ambao wengi hawana mtazamo wa kujiajili.
....hii hutokana kwamba sera za nchi kuhusu elimu na utekelezaji wake haumpi mwanafunzi fikra...
hi.jf member naomba kujua nn hatma ya walokuwa na defects kwenye loans app wakaambiwa warekebishe wapewe loan vp mbona bodi kmya au ndo wamewapotezea? Mwenye kujua kuhusiana na hili a2juze.. Thanx.!
habari wana jf naomba tafadhari mwanafunzi yoyote aliyechaguliwa coz hii bachelor of science with education apo udsm anitafute kwa private sms ninashida nae plzzzzzzzz!
Habari wana Jf, kwa yeyote anayefaham shule tajwa hapo juu ilipo kutoka bagamoyo mjini anijuze. Pia hata performance yake kitaaluma ningependa kufahamu.
Jmn naomben kujua kuhusu mikopo,
mm niko pale SAUT nachukua certificate ya ITT (INFORMATION TECHNOLOGY TECHNICIAN) je mwakan nikichukua Advanced Diploma naweza kupata mkopo? maana karo na marupu...
tar 2 hadi tar 4 mwezi wa 10 ni kusain fomu za mikopo ili maela yaingie. na tar 25/10/2012 ndio mwisho wa usajiri zaidi ya hapo uje na 100000 cash. piga 0659 631881 kwa mawasiliano:A S 465:
KATIKA waraka wa elimu no.5 mwaka 2012 uliotolewa na wizara ya elimu tar 21/9/2012 ambao unajumuisha mabadiliko ya mihula kwa shule za msingi,sekondari na vyuo vya ualimu grade A ikiwa tu na...
Wakuu,
Juzi nilikuwa na machungwa 20 yakiwa ndani ya mfuko na niamua kuwagawia watoto 20 kila mmoja chungwa moja moja. Cha ajabu kila mmoja alipata chungwa moja lakini moja nikabaki kwenye mfuko...
Enzi zile zakukariri mashairi
Hebu tujikumbushe hili shair,kwa kweli kama hukulipenda sijui ulipenda lipi,lipo relevant kwa nchi yetu
By Henry Barlow
Today I did my share
In building the...
Wadau kwa loan iliyotowela hata vyuoni wameandika batch namba 1,je kuna hizo batch nyingine zitakuja? Ambao majina yetu hayajaonekana tuwe na moyo na hilo la batch nyingine?
Jamani bodi ndo imeamua kutuchunia sisi tuliokosa loan mana kulikuwa na tetesi kuwa ifikapo tar 1 mwez wa kumi wangetoa nafasi kwa wale waliokosa loan kwa priority facult kuomba tena lakin bado ni...
Chuo cha maafisa ugani Naliendele - Mtwara, moto kinateketea kwa moto muda huu.
Nimearfiwa na mwanangu anayesoma huko.
Walio Mtwara watupe maendeleo ya hali hii tete.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.