Kwa wale wa sua mchanganuo wa ada umeshatoka tayari, labda niwasaidie kwa wale wa agricultural eng,
meal n acmdatin 1,980,000.
Field work 620,000.
Special facult 175,000.
Buk n statinary...
Pazia la mwaka wa masomo wa 2012/2013 vyuoni linafunguliwa kesho ambapo UDSM inapokea wanafunzi wa mwaka wa kwanza. Kesho na muhula mzima wa kwanza patajaa vituko na ushamba wa kila aina. Ni mambo...
ndugu zangu wale PC'S vyet vya form 6 mwaka 2011 vimerudi baraza la mitihani na ili kupat wanadai 20,000 yani kuna usumbufu ndugu zangu, so ushari wangu fuatilieni mapema mim mwenyewe ni mhusika...
Ninawaomba mtoe kipaumbele kwa first year students ktk kuwapatia hosteli za ndani ya chuo hasa waliofika mapema kuanzia jana.Wengi wao ni wageni wa mji..!
Naomba mtoe kipaumbele kwa wanafuzi wa first year ktk utoaji wa hosteli za ndani hususani wale waliowahi kuanzia jana kwani wengi wao ni wageni wa mji..!
Nimetembelea tovuti ya NECTA (The National Examinations Council of Tanzania) na kukutana na ratiba ya mtihani wa kidato cha sita mwakani (angalia link hapo chini)
Poleni sana vijana najua mlikuwa...
Dear October be better than September, less worries and more happiness. Please dear October, I just want what's best for my life, please be good to me dear October, please don't disappoint me...
Kwa ambao tayali msharipoti vyuoni hebu tuambieni mliyokutana nayo huko, sema chuo ulichopo, matatizo uloyakuta, furaha na mazuri uloyapata huku.
ili wote tujadili pamoja wote hapa na tujue kuna...
Hi all,
Niko na swali kwa wanafunzi wanaosoma medicine hapo Muhimibli school of medicine. Is all your instruction in Engish or Kiswahili? kwenye ward teaching is it more flexible switching...
Ndugu zangu wana JF, mimi ni mhitimu wa chuo kimoja hapa nchini,nimesomea mambo ya ujasiriamali haswa hivyo inabidi nijiajiri mara baada ya kuhitimu na muda wenyewe ndiyo huu. Ubunifu ninao tena...
Habari za jioni wana jf.naomba msaada wenu wa mawazo kuhusu kozi ninayosoma ya account hofu yangu ni kwamba naweza naweza kupata ajira kwa ngazi ya cheti?.natarajia majibu mazuri kutoka kwenu...
Ndugu zangu wana JF, mimi ni mhitimu wa chuo kimoja hapa nchini,nimesomea mambo ya ujasiriamali haswa hivyo inabidi nijiajiri mara baada ya kuhitimu na muda wenyewe ndiyo huu. Ubunifu ninao tena...
Jamani wana jf naomba msaada wenu mimi nimechaguliwa udom kusoma medicine kama equivalent na katika website ya udom walitangaza kuwa leo jumatatu tungeweza kudownload admission letter lakini...
wakuu heshima yenu...mdogo wangu amemaliza diploma chuo cha ushirika moshi amepta GPA ya 4.2 na ameomba kujiunga na degree hapo hapo,je matokeo yao hayajatoka mpaka leo? Nimepitia kwa website ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.