Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kizazi cha facebook, wazazi tunalipaada,na hatuwapi hasa mabintilsimu,wanazitumia kwa kificho,utashangaa unaona commnts za mwanao facebook,jamani pesa zangu,mwanangu anapotea,na sie wazazi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama ilivo hapo juu,nimesoma Engineering,nafuta kufundisha kwa part time shule yyte hapa mjini DAR..masomo ninayofundisha ni PHYSICS,MATHEMATICS,CHEMISTRY
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kwa wale ndugu amabo wameshawahi ku appel miaka ya nyuma au wanajua mambo fulani kuhusu ku appel wanipe maneno hapa nlitaka kujua prosec nzma pia nlipnda kujua huwa yanatoka lini hayo majibu?
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Polen sana ndg zangu kwa mliokosa mikopo,lkn nataka kuwaambia kwamba kamwe msikate tamaa kuna altenative nyingi; kwanza,unaweza kutafuta taasisi zingine za serikali au binafsi na kuomba...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mi ni kijana niliepangwa DUCE BEDS. Nimetokea Kilimanjaro na hapa Dar nimeshukia maeneo ya Kigamboni. J1 niliripoti Chuoni nikakuta ya kuwa sijapangwa hostel yoyote kati ya Mabibo na Mbagala...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkopo nimepata 4282500,nnawezaje kujua hii ni %,pia nntapaswa kulipia tuit fee kiasi gani?,plz help!
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni jambo lislokuwa la kawaida kwenye kipindi cha mitihani au marudio ya Mitihani (probation) kwa chuo kuruhusu activity yoyote ambayo huleta usumbufu kwa wanafunzi wanaojiandaa na mitihani, lakini...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wana JF, Binafsi kabisa napenda sana ichi kipindi cha Maisha plus (Masoud Kipanya) akiwa kama founder wa kipindi hichi. Napenda sana hatua hii ya usahili (interview) kwa kweli najifunza...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
wanajf me nimechaguliwa ifm course BBF na mkopo nimekula 4172500 .Nimejaribu kuuliza uku na kule kuhusu swala la malipo inakuaje,wengine wakaniambia natakiwa kulipa kiasi kilichobaki kwenye tution...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Maana sie tuliokosa mkopo tumekuwa km mayatima tuliotupwa jalalan na mama yetu HESLB lkn kuna huyu mwewe anayeitwa HLSSF cmjui naombeni kumfahamu??
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Jamani wana JF mbona memberz wa SUA hatupeani ma-breaking newz yanayojili kunako MJENGONI?????
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Ni kweli kabisa kwamba Umombo siyo Lugha yetu ya Taifa kwa kuwa Lugha yetu ya Taifa ni Kiswahili. Lakini tususaha kuwa tumekubali umombo siyo tu kuwa Lugha ya Kimataifa bali kuwa moja ya Lugha za...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Waheshimiwa maisha bila mkopo Chuoni ni *MAGUMU* sijapata kuona hasa kwa sisi watoto wa wakulima Ambao tumesoma St.Kayumba Sec. school(ukipeleka ADA Elfu ishirini na Tano, basi unarudishiwa na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nimeingia kwenye website ya udsm ada zimebadilika mfano kwa wanafunzi wa sheria imeshuka toka 1,500,000. to 1,380,000.lakini sijui kwa kozi zingine kama zimepanda au zimeshuka nawaomba mcheki...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Huyu binti si kwamba amechora kitu wanaita tatoo bali ni majibu ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika mwezi uliopita mwaka huu. Hayo yalijiri huko mkoani Kagera watu tulitegemea kwa vile...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Eti,mbona Vyuo Vikubwa Kama Udsm Vimegawanyika Katika Sehemu Kuu Tatu?.cheki;- 1:institutes 2:collages 3:schools Kama Unajua Chochote Kuhusu Hili Naomba Unifafanulie Tofauti Za Dhana Hzo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
habari zenu the great thinkers!! naomba niulize kwa anayefahamu,majibu ya mkopo kwa wanafunzi wanaoendelea(continuous) yatatoka lini,au ndo hakuna tena?kwa sababu yametolewa majibu ya first year...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
28th September 2012 Aim is to ensure teachers have ample time to mark papers Effective next year, Form Six and Four students will sit for their national examinations in May and November...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
BY DAVID KISANGA 28th September 2012 Email Print Comments Aim is to ensure teachers have ample time to mark papers Effective next year, Form Six and Four students will sit for their national...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
wadau hivi ni lazima jina ambalo utaliweka katika medical examination form lifanane na la katika admission letter? msaada wenu tafadhal
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom