Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wakati flan nakuwa na matumaini makubwa kwa hawa jamaa kwa kuangalia namna walivyojieleza kinagaubaga.... but kwa nini serikali imekaa kimya....? hata tamko? Sponsors and supporters...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika miaka ya karibuni, imekuwa "fashion" kwa wanafunzi waliosoma PCM form 6 kujiunga na vyuo vya biashara, yaani, kusoma B.Comm na BAF (Bachelor of Accounting and Finance). Utakuta hata wale...
1 Reactions
40 Replies
11K Views
kundi hili linafanya vizuri sana katika tasnia ya ucheshi hapa Bongo,lakini wadau naomba kuuliza hivi watoto wetu ambao ni mashabiki wakubwa wanajifunza nini? hasa pale wanapoporomosha matusi...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
nackitka sana ni napo ona wanafunzi wana feli somo la hisabati ivi tatzo ni kitu gan? au la bda kijana wangu tu ndo ana matatzo / kama kuna mwalimu mzuri
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimegundua Kwa Heslb Haikutoa mkopo Kwa Asilimia Kama ilivyojinadi yenyewe kwamba ingezingatia asilimia,0,10,20,30,40,50,60,70,80,90 na 100. Course Yangu Ni Shlng 1.3mls Wamenipa Mkopo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natanguliza shukrani, Naombeni msaada wa kupata mawasiliano/contacts za Dstv/Multichoice hapa Dar es Salaam.Decoder yangu inasumbua. asanteni nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
20K Views
What is the difference between Translation and Transrelation ????
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Kwa wale mnaosoma au mliochaguliwa UDOM naombeni mnisaidie kwa hili, Hadi sasa nimepata sh 282,500 za direct cost na wanasema deadline ni tarehe 30 sept. Je nikilipa ada baada ya deadline...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Nimewasiliana na wahusika wa HLSSF kuhusu utoaji wa majina ya watu waliopata mkopo kwenye taasisi yao wakasema watatoa majina ya waliopata mkopo baada ya October 30 watakapo funga dirisha la...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa wale wa sua it is ma hope u ar ok naombeni nijuzeni hii koz ina field mwaka wa ngapi na vp kuhusu msuli wake kulinganisha na food science &technologyna pia khs future zake which one has...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani naombeni kwa yeyote anayefahamu jinsi ya kutafuta na kupata sponsorship katika vyuo vya nje ya nchi kwa ajili ya undergraduate programmes,nilimaliza form 6 mwaka 2006 nimeapply mara 4 hapa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wanafunzi wa form six katika shule mbalimbali za sekondari wameanza kupiga kelele kutokana na mkanganyiko wa tarehe ya kufanya mtihani mwaka 2013. Ratiba ya BARAZA LA MITIHANI (NECTA) inaonyesha...
0 Reactions
29 Replies
10K Views
Please click here
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kama mnakumbuka kuwa wizara ya nishati na madini ilitoa udhamini wa elimu kwa wanafunzi 10 watakaosoma petroleum engineering UDOM lakini hadi hivi sasa sijasikia tetesi kuhusu waliofanikiwa kupata...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Yani hawa HESLB wamekula sh 30000 yangu ya vocha wakati wa kujaza fom za mkopo halafu mkopo wenyewe wameninyima.Naijutia sh.30000 yangu.
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Mwenye habar yeyote kuhus kufanyika kwa necta 4m6 inafanyika mwez wa 5 au wa2. Na ratiba ilisha tokaga ktmbo ya mwz wa2! Mchango wnu wana jf
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani wadau hili swala limekuwa likinishangaza sana kwa jinsi serikali yetu inavyodidimiza elimu kupitia mtihani wa kidato cha pili kwa kuruhusu hata waliochini ya wastani husika kuruhusiwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Ndugu Zangu?ninamatumaini Kwamba Niny Wazma. Kwa Wale Wapenda Kazi Za Chinua Achebu,mwandishi Maarufu Mnaigeria, Nimepata Habari Kwamba Babu Huyo Kapublsh Kazi Nyngne Kali Sana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Form six kutokana na waraka wa wizara elimu ,mtihani utafanyika mwezi wa tano wiki ya kwanza.sasa haijajulikana kama,utakuwa na effect kwa 4m 6 wa sasa.kama una la zaid au ukweli wowote tupia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu wana jf,mnamo mwezi uliopita niliandika topic yenye kichwa 'institute of financing more unemployment problem',samahani kwa wale ambao niliwakwaza kwa hiyo post yangu,sikuwa na nia mbaya just...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom