mm ndiye niliyeandika hii thread " kwa kupata loan naipigia CCM kura " watu waliwaka na mm wengine walinitukana na wenye busara walinielewesha kuwa loan ni haki yangu.....NAIFUTA kauli...
Wapendwa mliochaguliwa mist na ambao mnaendelea na masomo katika chuo hiki tubadilishane uzoefu na mimi ni mwenzenu naja kusoma BBA.........
Karibuni uwanja ni wenu
ninaomba kuwauliza jamani hivi hostel za mzumbe mbeya campus zinajitosheleza kulingana na idadi ya wanafunzi waliochaguliwa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kwa anayefahamu jamani ninaomba...
Mfano Mimi Nimepata Loan Ya Tsh.3867000/= Hii Pesa InaGAwanywa Hivi....
¤Accomodation,Meal and Stationary kwa Vyuo Vyote wanatoa= Tsh.2000000/=
¤School fees ni = Tsh.1263000/=
Total Summation...
Huku Rufiji ni swala lakusikitisha sana,eti viongozi ambao pia baadhi yao ni wakuu wamashule wanakaa nakukubaliana kuwa msimamizi alipwe 18000 na msimamizi mkuu ni20000 kwa wiki.Hivi tunakwenda...
Next to hall five there is a list of room allocation for prospective USDM first year students.
Hopefully, they are found in University Site as well.
Source: USAB Notice Board
Wakuu,
Napendekeza shule zetu za kidato cha tano na cha sita kila moja iwe na combination moja tu. Maana yangu ni kuwa kama shule ni ya PCM basi wanafunzi wote katika shule husika wanasoma PCM...
Hivi nani asiyejua kuwa darasa la saba maana yake ni pre secondary school,form four ni pre high school na form six ni pre university?sasa haya mashule wameanzisha matapeli kila mtaa eti pre...
natumai tuko wazima wana jf,,naombeni mnifumbue macho kwa hili kwa zile fakat ambazo hazina field mwaka wa 1&2 pesa za field kwa wale wenye mkopo zinaweza kutumika ktk mambo mengine mfano...
Kwa wahitimu wa kidato cha Sita walioomba Kusoma Diploma ya ualimu second selection angalia majina hapa:
ORODHA YA WALIOCHAGULIWA AWAMU YA PILI KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA...
Kwa wale ambao wanaitaji kufanya transfer milango bado ipo wazi TCU,
cha muhimu na kwa urahisi nenda ktk chuo ambacho unataka kuamia, unana na dvc akuambikie barua kama kuna nafasi then peleka tcu,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.