Utakua unajiuliza maswali mengi,mkopo wangu ni asilimia ngapi?,napaswa kujilipia ada asilimia ngapi? Deadline ya payment ni 30sept,sasa nitalipaje.
UNATAKIWA ULIPE KILA KI2 ISIPOKUA ADA TU,HII...
Ndg yng amepata vyuo viwili st joseph songea course ni computer with education alichaguliwa na tcu.,pia amepata mzumbe course ni belm aliomba directly..mkopo umeelekezwa st joseph.,yy anataka...
Mimi ni mtanzania niliosoma nchi za kiarabu nimechaguliwa ARABIC UDOM nafikiria kubadili au kuongeza kozi nikifika chuo, lipi bora kati ya haya? Kozi za arts
nimeangalia usaili wa maisha plus leo husiku , kwa kweli inatisha na kusikitisha. Ongera sana kipanya kutuonyesha jamii yetu inaelekea wapi.
Kama mtu anashindwa kujua afrika mashariki in inchi...
WAKUU Nimejaribu kulog in nimeshindwa..je kuna mtu aliyefanikiwa anilekeze?
inaniandikia hiki kitu
Home Login
Username and password do not match or you do not have an account yet...
Eti kwenye ule wimbo wa MATHEMATICS wa Roma wa Tongwe Records kuna mistari ameisema eti:
"MAKAHABA WANAONGEZEKA BOOM LINAPOKATA".
vp kuna ukweli wowote hapo? Tiririkaaa...!
Story ilianza hivi...MATOKEO YA FORM VI LINI,Kitu soon kikatoka...Iliyofuata ni MKOPO LINI UTATOKA,hapa yalisemwa mengi sanaaaa finally majina yakatoka...Sasa STORY iliyo mtaani "KWANINI MAJINA YA...
Habari zenyu binafsi bana wa jf!samahani kama mada hipo jukwaani tayari lkn by the tym na post ckuiona!tcu wametupia majina ya watu waliokuwa selected na loans zao pia na majina ya watu wenye loan...
Kwa mujibu wa gazeti la nipashe la hii leo 25/09/2012, bodi ya mikopo yatamka mikopo kuanza kupelekwa vyuoni kuanzia wiki hii. Habari njema bt wishing you financial discipline in expenditure of...
:violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin:
Napenda kuwaarifu students wa first year UDSM kuwa tayari admission letters zimeshaanza kutolewa chuoni. Kwahiyo...
Naomba kujua, kama mimi nilimaliza form 6 miaka kadhaa iliopita na div 2 sikutaka kusoma nikaanza mambo ya pesa na familia, sasa ndo nimeomba chuo kupitia tcu, jina halijatoka, nataka masomo ya...
ANNOUNCEMENT TO CANDIDATES SELECTED TO JOIN FIRST YEAR STUDIES DURING ACADEMIC YEAR 2012/2013 The University of Dodoma will commence its First Semester for 2012/13 academic year on...
Nimechaguliwa udsm,cheti changu original cha form 4 ninacho,ila kwa bahati mbaya jana nikiwa natoka kuchukua original yangu ya form 6 nikawa nimeiweka pamoja na cheti cha kuzaliwa,nikavisahau...
Serikali ya Tanzani ya JK ilipoamua kilimo kuwa kipaumbele chake haikuwa sahihi. Mwana-zuoni Abraham Maslow aliyaweka mahitaji ya viumbe hai katika makundi matano. Kundi la kwanza na la chini ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.