REGISTRATION FORM A KIPENGELE NO. 7. Inakuwaje kwa chuo cha Serikali kutaka kujua dini na dhehebu la mtu? ili hali machungu ya sensa yenyewe bado hayajaisha! what is the reason behind...
jamani kwa mtu yeyote mwenye taarifa ya sakata la walimu kupitia CWT na serikali,wamefikia wapi?je serikali imezungumza chochote?maana hata hawa CWT wapo kiiimya,nadhani kuna haja ya walimu...
Jamani hawa heslb wametoa majina ya first year peke yake waliopata loans, sijaona majina ya continueous student(2nd,3rd and etc) ambao waliomba.je wameamua wa2potezee au watatoa tena baadae?
Iam very determined to oppose the current system of NECTA which require STD vii pupuls to answer maths Questions by using mutiplechoices
This system to me is the system which greatly will...
Jamani hivi elimu ya tanzania inakwenda wapi? kama tunaweza sasa kuweka mtihani wa hisabati kuwa na majibu ya kuchangua sasa tunafanya wanafunzi kuwa wavivu sasa na kupoteza wasomi. kweli tutafika
Mineral Resources Institute(MRI) ikisaidiwa na Wizara ya Nishati na Madini imetoa nafasi za masomo kwa wanaotaka kusoma kozi ngazi ya stashada yani Diploma in Petroleum Geosciences na...
Wapendwa wanaudom msifadhaike kufuata laptop mjini na maeneo mengine; laptops zinapatikana pale chuoni kwa bei nafuu kuliko maeneo mengine nje ya chuo :Ni nzuri na za viwango vya juu 'narudia tena...
Je,fedha za field ni sawa kwa wanafunzi wote wa vyuo vikuu mwaka huu? Au inaendana na asilimia uliyopata kutoka HESLB? Kwa mfano kuna watu wamepewa Tsh 2,400,000/= halafu boom na vitabu ni 2m,ada...
Pamoja na kuwa na fani nyingine,natamani kujifunza namna ya kutengeneza photocopy machine ipatapo matatizo,pamoja na printer.naomba kujuzwa kama kunasehemu wanafundisha mantainance za hiv vitu
hatimae wenze2 kenya baada ya mgomo wa walimu 3wks mfululizo malalamiko yao yatatuliwa,madai yao ilikua nkutaka nyongeza had kufkia 300%na serikal imeafik,tz hata hiyo 100 imeshndikana...bora...
SHORT COURSE ANNOUNCEMENT ON DATA PROCESSING AND ANALYSIS
(To be conducted in Dar es Salaam)
The Department of Statistics, School of Mathematical Sciences of the University of Dodoma is...
Hi JF!
wandugu nina mdogo wangu kachaguliwa kwenda Tandabui Health Institute kusomea Health Records Financial and Information Management, napenda kufahamishwa je amalizapo kozi hii atafanya kazi...
fuata hatua zifuatazo .1. take your shoe size. 2.multply it by 5. 3. add 50. 4 multiply by 20. 5. add 1012. 6. subtract the year you were born RESULT. the first digit is is your shoes size while...
Poleni kwa kusubiria ripoti ya jana kutoka kwa mdodosaji, naombeni jukwaa nami niwasilishe hoja...
Kwa wale mliokosa mkopo ishu ni kwamba kwa majibu mepesi niliyopewa pale reception ni hivii...
Mimi Ndo Ninaenda Kujiunga Na Chuo Kik8,udsm Mwaka Huu.kuna Rafiki Yangu M1 Ameniambia Kwamba Eti, Kabla Ya Mambo Yote Kuna Form Nyingne Inapaswa 2download Kutoka Kwenya Website Ya Chuo ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.